Search results

  1. KML

    Msaada App nzuri ya kudesign

    Msaada wakuu application nzuri ambayo naweza kutumia kudesign vitu kama mabango nje ya adobe. Simple app ambayo haina complication kama adobe photoshop.
  2. KML

    Hat Trick

    Kwa wale wanaojua mpira mtanielewa. siunajua ukishinda magoli matatu katika football unapewa mpira wa bure unaondoka nao.... sasa jamaa kaenda gest na demu wake kamgonga goli tatu alipomaliza akafurahi akaenda reception akaomba condom ya bure na yeye aondoke nayo Watu bwanaaa...
  3. KML

    Watoto Wa Uswahilini Bwana

    Juzi Nilikua napita mitaa ya jet rumo nkawakuta watoto wanacheza mpira barabarani kama kawaida yangu nkasimama kuangalia vipaji vijavyo, gafla akapita jogoo anamkimbiza kuku basi yule jogoo akampata yule kuku akawa amempandia bas katoto kamoja kakatoka mbio kakaenda kakampiga teke yule jogoo uku...
  4. KML

    Sasa Nimeamini TBC ni Chama kidogo cha CCM na si Chombo cha habari

    La kwanza nililojiuliza jana je hawa TBC wafanyakazi wake si waandishi wa habari?? taarifa ya habari ya jana imenipa jibu kwamba kile ni chombo cha ccm na si cha waandishi wa habari na pia ata wafanyakazi wake nna wasiwasi nao na sina imani nao.Ukiangalia vyombo vyote vya habari jana walitumia...
  5. KML

    Kureset Password Ya Apple

    Msaada kwa anaejua namna ya kureset password ya Apple kuna jamaa wangu amesahau password yake Kwa anaejua pls
  6. KML

    This is Fantastic

    ooh sorry.. This is Cocastic or Pepsistic Samahani kwa usumbufu
  7. KML

    Mbishi zaidi ya sana

    jamaa wawili wabishi walikua wakibishana,walibishana karibia siku nzima hawafikii muafaka mwishowe mmoja wao akaona isiwe tabu akakubali kushindwa akamwambia mwenzake basi umeshinda,yule jamaa bado akabisha kwa kukataa ushindi anadai hajashinda...mbishi zaidi ya mbishi.
  8. KML

    Namshauri Dr. Ulimboka...

    Ingekua uwezo wangu ningemshauri jamaa agombee ubunge jimboni kwao uko mbeya maana kashajizolea umaarufu wa kutosha.. then anafaa sana kuleta mabadiliko nchini na mfano tumeuona.. Sijui wewe unaonaje..
  9. KML

    Mitoto ya sikuizi bwana

    Dogo anaulizwa na mwalim wake Mwalimu: Leo tarehe ngapi Dogo: Tarehe Saba Mwalimu: Mwezi gani?? Dogo: Mwezi mtukufu wa ramadhani Mwalim: Pumbaaafuuuuu..
  10. KML

    Madaktari kushitaki serikali (MCT)

    Viongoziwa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Jumuiya ya Madaktari na Madaktari waliofukuzwa kazi na wengine kusitishiwa usajili wa leseni zao za muda walikutana jijini Dar es Salaam jana na kupitisha azimio la kuishtaki Serikali na Baraza la Madaktari mahakamani. Umuzi huo ni matokeo ya...
  11. KML

    Van Persie departure hint: Gunners release squad numbers - but no shirt for Podolski

    Van Persie departure hint: Gunners release squad numbers - but no shirt for Podolski Arsenal have announced their squad numbers for the 2012-13 season and although Robin van Persie has retained his No.10 shirt, new signing Lukas Podolski has yet to receive a number. 1 Wojciech Szczesny, 2 Abou...
  12. KML

    Ni nini kazi Ya Sumatra..??

    Jana nilisikiliza taarifa ya habari nikashangaa sana kusikia kumbe ile meli iliyozama haina ata ofisi na ata mda wake wa kufanya kazi ulikua umekwisha yaani imesha expire.. Sasa niwaulize sumatra hii sindio kazi yao kujua vyote hivi ama kazi yao ni kukaa barabarani na kukamata magari na kula...
  13. KML

    Haya ndo anayoyapenda Rais Wenu

  14. KML

    Wabunge Wachovu

    Katika wabunge wachovu nafikili wabunge wa Tz ni wachovu sana, kwanza wana mikwara mingi kuliko vitendo kinachoniudhi mimi sasa, wanajua kusimama na kukalipia sana na kujifanya wanatetea maslahi ya wananchi, badae utasikia Tunaunga mkono kwa asilimia mia (100%) sa sijui niwaiteje machizi au...
  15. KML

    Totoziii

  16. KML

    Jamanii hii ni hatari ee

  17. KML

    Lema aushukia Mwenge

    Akizungumza katika mikutano ya hadhara katika kata za Chienjele na Likunja katika Wilaya ya Ruangwa, Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema alisema ni aibu kwa Serikali kukimbiza Mwenge kwa gharama ya Sh bilioni moja na kwenda kufungua zahanati ya kijiji isiyozidi Sh10 milioni. Alisema...
  18. KML

    Watu bwana

    Jamaa: Ndabi naomba unisaidie angalau elfu tano nina shida sana familia yangu haijala toka jana Ndabi: Aisee unanishangaza sana mke wako anaonekana ana roho mbaya sana Jamaa: kwanini?? Ndabi: Jana tu nimetoka kumuhonga elfu hamsini ameshindwa kukupa ata elfu tano Jamaa: unasema nini (ngumi)
  19. KML

    makatunisti bhana

    Eti mke kamkunja mme wake uku anampiga alafu anamwambia Mke: (kofi) niahidi kama utaacha kuleta malaya zako humu ndani kwangu Mme: (uku akilia) nakuahidi mke wangu sitoludia tena kuleta wanawake ndani kwetu nakuahidi ntakua nawapeleka gesti
  20. KML

    Malani ya mdogo wangu bwana yalikua yanachekesha sana

    nilikua na dogo langu moja sasa tukiudhiana tunapeana malani, sasa malani yake yalikua yanachekesha sana maana hayanilengi muhusika. labda mi ntaanza kumwambia kichwa kama sufuria yake yeye sasa eti .. kaptula kama shati... lione lione kwanza jicho kama mkono... lione lione baiskeli kama...
Back
Top Bottom