Haya ndo anayoyapenda Rais Wenu

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
u49.jpg

u51.jpg
 
Watanzania wengi walichagua chama na si JK!
Nasikia alispend zaidi ya 4hrs anazunguka kwenye mabanda!
Nadhani ofisini atakuwa anakaa kukiwa na ugeni tuu!
 
Slaa alipoacha kanisa akufuata totoz hamkusema Rais wetu anajipongeza imekuwa taabu mnadhani Rais malaika hana matamanio au... muacheni akonge moyo kwa kazi kubwa ya kuongoza vichwa ngumu kama nyinyi
Signature yako tells a lot about you na ukilaza wako.
 
Mi ni JOSEPHAT JOSEPH napita tu,naogopa kusema chochote nisije nikaitwa DHAIFU na amchelewi kusema NAWASHWAWASHWA bora nikae kimya LITAKALOKUWA NALIWE.
 
Mi huwa nasema,'fanya unachokiweza' jk ndo anaweza hayo.nchi imemshinda.dhaifu!
 
Huyu Mr Dhaifu ana matatizo sana,sijui kwanani watanzania walidanganyika kukubali kurazao zichakachuliwe na huyu kilema wa ubongo.Ngono tu ndio anayujua iala si shida za wananchi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Signature yako tells a lot about you na ukilaza wako.

Tatizo lenu watanganyika mmesoma lakini hamkujua milipeleka wenzenu to shule ndio maana sisi millioni moja tunawapa changamoto nyie mijitu millioni 40 vichwa ngumu mnaonea fahari kuabudu mafuvu.

Silioni tatizo la JK au mmesahau mlipokuwa mkipanga foleni RTC kugombea sukari. na sasa kila kitu nje nje pesa yako tu, tatizo jengine watanganyika wavivu mnataka raha kimiujiza mkikosa mnatoa visingizio ooh JK dhaifu unataka akuletee maandazi kitandani? jitume kukabili changamoto zako.
 
Watanzania wengi walichagua chama na si JK!
Nasikia alispend zaidi ya 4hrs anazunguka kwenye mabanda!
Nadhani ofisini atakuwa anakaa kukiwa na ugeni tuu!

Tangu mlinzi wake wa nguvu za giza sheikh Yahya aitwe mbele ya haki, mkweree hakai ofisini anaogopa majini!!! Ndio maana aidha yuko kwao Msoga kila weekend au yuko safarini nje ya nchi!! Anapaogopa hapo magogoni!!
 
Tatizo lenu watanganyika mmesoma lakini hamkujua milipeleka wenzenu to shule ndio maana sisi millioni moja tunawapa changamoto nyie mijitu millioni 40 vichwa ngumu mnaonea fahari kuabudu mafuvu.

Silioni tatizo la JK au mmesahau mlipokuwa mkipanga foleni RTC kugombea sukari. na sasa kila kitu nje nje pesa yako tu, tatizo jengine watanganyika wavivu mnataka raha kimiujiza mkikosa mnatoa visingizio ooh JK dhaifu unataka akuletee maandazi kitandani? jitume kukabili changamoto zako.
Hapo umemaliza ubishi mkuu, bora uwape somo hawa wavivu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom