Sasa Nimeamini TBC ni Chama kidogo cha CCM na si Chombo cha habari

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
La kwanza nililojiuliza jana je hawa TBC wafanyakazi wake si waandishi wa habari?? taarifa ya habari ya jana imenipa jibu kwamba kile ni chombo cha ccm na si cha waandishi wa habari na pia ata wafanyakazi wake nna wasiwasi nao na sina imani nao.Ukiangalia vyombo vyote vya habari jana walitumia zaidi ya dk 15 katika habari ya maandamano ya waandishi wa habari isipokua hawa TBC walitumia dk1 na nusu katika habari iyo,vyombo vyote vilionyesha jinsi nchimbi alivyotimuliwa lakini wao walituonyesha jinsi alivyohutubia na kuifanya ile habari kama ni kitu flani cha kawaida sana yaani hakina mana as if wao si waandishi wa habari, yaani utumwa ni mmbaya sana.
hivi hawajui kesho keshokutwa yaweza mtokea yeyote pale kwao,mi nawaomba waandishi wa habari waandae maandamano mengine katika kukichunguza iki chombo cha watanzania ambacho kimegeuzwa chombo cha CCm kwa maslahi yao.
 
Hawa jamaa naona hawasomi alama za nyakati maana ipo siku atakuja farao asiyemjua Musa watatimuliwa wote!
 
Namshukuru sana Mungu mimi si mfanyakazi wa TBC! aibu hii ningeiweka wapi mbele ya jamii ya watu wasiyo wanafki!? siipendi TBC miaka mingi sana iliyo pita. ukiisha kuwa mnafki, wewe ni adui yangu ata kama sikujui
 
Tbc sio chombo cha watanzania ila ni chombo cha ccm ambacho hakina tofauti na vyombo km gazeti la uhuru na redio uhuru, kwahiyo km we sio mwanachama wa ccm huna haja ya kuangalia tbc angalia vyombo vingine ambavyo vipo huru km itv
 
TBC (a.k.a TBCCM) ni kituo cha propaganda cha chama cha mauaji (ccm). Hili wengi wanalifahamu kwa muda mrefu sana sijui wewe ulichelewa wapi kufahamu?
 
kinachoniuma mimi sana ni kwamba shirika ilo ndilo pekee linaendeshwa na kodi zetu wenyewe..... haki vile hii si sawa hapa duniani na hata kwa mungu inauma sana kwann ee!!!
 
tbc ni chombo cha mafisadi amba bado wanatawala,ila utawala wao ndo unaisha siku si nyingi.wafanyakazi wake wsasome alama za nyakati.
 
Wafanyakazi Wengi wa TBC ni sawa na Polisi wa Tanzania, sema waajiriwa hawa wa serikali ya CCM wanatofautina kazi wanazozifanya tu...!
 
Hao waandishi wa TBC wameamua kuweka weledi wao mfukoni na kutetea mkono uende kinywani..chezea tumbo weye!
 
Kama ulikuwa hujui hiki ni kitengo kidogo cha TISS,Kuna mmoja wao ilitokea kulala nae hotel moja singida mwaka 2009 akasahau bastola chini ya mto.
 
Hivi maana ya TBC ni nini...na hiki chombo ni mali ya nani na nani mfadhili wake?? Serious jana nimepasua pasua kingamuzi nilichonunua kwa pesa zangu mwenyewe SiNToAngalia TENA hili likitu TBC, ..... Eti televisheni ya taifa!! ....LIPI HILO na hilo taifa ni akina nani...
 
Back
Top Bottom