password gani ya Apple? Apple ID, iPhone/iPod/iPad au Macbook password?Msaada kwa anaejua namna ya kureset password ya Apple kuna jamaa wangu amesahau password yake
Kwa anaejua pls
apple laptop jamaa kasahau password yake ya kulogin kama user
inawezekana mkuu na ndo maana waliotengeneza vitu kama ivyo wakaweka altenative method ya kureset kwakua walijua wapo watu kama hao wanaoweza kusahau passwoed zaoHii sasa kali, yaani mashine yake mwenyewe afu kasahau password yake! Si mchezo, ngoja nisiseme mengine.
nitarudi nikipata wazo they way in.
sawia kaka. Ila ingekuwa masuala ya email nisingeshangaa sana. Kusahau password ya kompyuta yako mwenyewe! Hilo mi lanishangaza. Anyway kaka I'm trying to find a way out kwa tatizo hili. Swali langu ni: hiyo machine ina OS version gani?inawezekana mkuu na ndo maana waliotengeneza vitu kama ivyo wakaweka altenative method ya kureset kwakua walijua wapo watu kama hao wanaoweza kusahau passwoed zao
mav os x version 10.7.4sawia kaka. Ila ingekuwa masuala ya email nisingeshangaa sana. Kusahau password ya kompyuta yako mwenyewe! Hilo mi lanishangaza. Anyway kaka I'm trying to find a way out kwa tatizo hili. Swali langu ni: hiyo machine ina OS version gani?
Fuata maelezo haya utafanikiwa ila hapa utakua umecreate account nyingine na information za ndan ya mashine zitapotea kasoro software. Huweze kureset password bila kuwa na original cd ya hiyo mac.Msaada kwa anaejua namna ya kureset password ya Apple kuna jamaa wangu amesahau password yake
Kwa anaejua pls
mkuu aksante ila nilishagoogle icho kitu na nkafata the same procedure na sikufanikiwa..any other alternative??Fuata maelezo haya utafanikiwa ila hapa utakua umecreate account nyingine na information za ndan ya mashine zitapotea kasoro software. Huweze kureset password bila kuwa na original cd ya hiyo mac.
You need to enter terminal and create a new admin account:
1. Reboot
2. Hold apple key + s key down after you hear the chime.
(command + s keys on newer Macs)
3. When you get text prompt enter in these terminal commands to create a brand new admin account (hitting return after each line):
mount -uw /
rm /var/db/.AppleSetupDone
shutdown -h now
4. After rebooting you should have a brand new admin account. When you login as the new admin you can simply delete the old one and your good to go again!