Search results

  1. Wa Bagamoyo

    Microsoft Lumia 535 for sale 250k

    Simu tajwa inauzwa, simu bado mpya na Ina guarantee ya mwaka mzima nipo Dar 0713513637.
  2. Wa Bagamoyo

    Je ni kweli ndg. Mulugo (n/waziri wa elimu )kasema haya?

    Wakuu nimeikuta hii katika moja ya mtandao wa kijamii " MAAJABU MENGINE YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU,MH MULUGO Akiwa katika ziara ya kutembelea chuo cha ualimu Tukuyu. Wakufunzi walimuuliza swali kwanini hawapandishwi madaraja kwa muda mrefu. Mmoja wa wakufunzi alilalamika toka aajiriwe...
  3. Wa Bagamoyo

    Ubuntu or windows 7?

    Eti wakuu OS gani niweke kwenye ka pc kangu? Matumizi yangu ni ya kawaida tu kama vile kuchapa assignments zangu, kudownload vitabu(software), muziki, videos n.k. UBUNTU sijawahi kuitumia so naomba ushauri wenu wakuu.
  4. Wa Bagamoyo

    Simu inauzwa "SAMSUNG GALAXY POCKET"

    Used for only three months... TSH 180000/= Simu ipo Mwanza. Specification zake: 5.0% Total hits: 6308620 7.0 7.1 7.1 Votes: 89 Samsung Galaxy Pocket S5300 review: Happy meal Read opinions Compare Pictures 360° view Related phones In the news (new) Manual CHECK PRICE...
  5. Wa Bagamoyo

    Msaada msaada please.

    Simu yangu aina ya Samsung galaxy W i8150 imeformat pics zote na songs na baadhi ya files. Please naomba mwenye kunisaidia kufanya backup au ndo imeshatoka tayari?
  6. Wa Bagamoyo

    Nahitaji kutengenezewa LOGO kwa ajili ya website.

    Habarini wakuu, nadhani title imejieleza vya kutosha so kama vipi ni PM tuchonge vizuri. Logo title iwe Elimu Yetu Tanzania so we ni PM tulonge vizuri.
  7. Wa Bagamoyo

    Tunaomba ushauri wako tafadhali

    Habari ndugu wa hili jukwaa . Tafadhalini tunawakaribisha katika ukurasa wa Elimu Yetu Tanzamia ili kupata michango yenu yenye kujenga na kuona ni jinsi gani tunaweza kufanya sekta yetu ya elimu inakuwa. Tunafahamu kuwepo kwa mashirika mengi tu yanayohusika na masuala ya elimu hapa nchni kama...
  8. Wa Bagamoyo

    Laptop inauzwa

    Laptop inauzwa ni LENOVO T61,battery ipo poa kabisa.Bei ni 300,000/= maelewano ya biashara yapo. 0713513637
  9. Wa Bagamoyo

    Msaada jaman kwa hii laptop yangu

    Jamani hii mashine imegoma kutype kabisa yani keyboard haisupport kabisa na pia kasa haifanyi kazi mpaka nitumie external mouse. Tafadhali jamani naombeni msaada wenu
  10. Wa Bagamoyo

    Msaada ya kucopy html code kwa web or blog

    Pls naombeni mnisaidie hapa nataka kucopy kitu
  11. Wa Bagamoyo

    designer wa blog plz tuongee biashara

    tuchekiane ka vipi kama una mautundu hayo kwa ajili ya business plssss. We ni PM then tutachekiana.
  12. Wa Bagamoyo

    msaada kwa hii simu

    jamani jinsi ya kuunganisha net kwa hii simu samsung gt18150 natumia tigo. plz
  13. Wa Bagamoyo

    Hivi ni makusudi au helsb hawajatoa hela au ni nini???

    Jamani hili ni tatizo wale wa SAUT MWANZA waliopo field hawajapewa hela zao mpaka leo na next week field inaisha, sasa wanadhani watu wanaishije huko mikoani. Tanzania haitaendelea kamwe kwa mtindo huu I swear.
  14. Wa Bagamoyo

    Hivi lini na mimi nitapenda????

    Eti jamani huu ni ugonjwa au ni nini mana sijawahi penda mwanamke, hua nasikia tu mapenzi yanaumiza bt me sijui hiyo kitu ipo vipi. Me ni single boy ukinipenda namaliza.leoleo túu. Je nitaweza badilika jamani mana umri wa kuoa umefika?
  15. Wa Bagamoyo

    Nauliza: Hivi wa UDOM education (BAED) mshaekewa hla za field?????

    Nauliza jamani mana sisi wa Saut- Mwanza na udom ndo tuliobakia wa mwisho wanatutesa hawa jamaa aghhhhhhh.
  16. Wa Bagamoyo

    Naombeni msaada juu ya hili pls

    Habari wana JamiiForums Tafadhari mwenye uelewa juu ya kufungua organization ambayo inakua kama charity plz naomba msaada, maana mimi na wenzangu wa hapa TZ na UK tunataka fanya hichi kitu plz wadau naomba ushauri wenu
  17. Wa Bagamoyo

    Saut-mwanza jamani boom lini?????

    Eti wadau mwenye info pls afunguke mana jamaa wapo kimya tu.
  18. Wa Bagamoyo

    whatsapp messenger

    Jamani eti kwanini SAMSUNG inakataa kwenye whatsapp
Back
Top Bottom