Hivi ni makusudi au helsb hawajatoa hela au ni nini???

Wa Bagamoyo

Senior Member
Apr 2, 2012
118
12
Jamani hili ni tatizo wale wa SAUT MWANZA waliopo field hawajapewa hela zao mpaka leo na next week field inaisha, sasa wanadhani watu wanaishije huko mikoani. Tanzania haitaendelea kamwe kwa mtindo huu I swear.
 
poleni sana, fuatilieni msikate tamaa.
Ndo mambo ya boom hayo, limetutesa wengi hata hela ya projject hatukupewa but tulimaliza
 
Jamani hili ni tatizo wale wa SAUT MWANZA waliopo field hawajapewa hela zao mpaka leo na next week field inaisha, sasa wanadhani watu wanaishije huko mikoani. Tanzania haitaendelea kamwe kwa mtindo huu I swear.
kiswahili ni lugha yetu lakin haielewek na na hawa wakuu wa nchi yetu!! lugha rahisi kwao kuelewa ni ya MGOMO tu!! ukitumia kiswahili utachoka sana na no body cares!!!! HAPA NI MGOMO TU..GOMENI MASELA!!!
 
Back
Top Bottom