Search results

  1. N

    Video:ushahidi wa uhuni wa st joseph na masister feki

    https://www.youtube.com/watch?v=d8NTzE9ooyw,,,HIVYO CHADEMA DIASPORA ALIKUWA SAHIHI. ikikataa ingia youtube andika the secret concerning st joseph
  2. N

    Kwa mtaji wa tsh 500,000 naweza kuanza kilimo?

    ndugu wadau,naomba ushauri wenu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu nimejibana pesa ya mkopo na kufanikiwa kupata kiasi cha Tsh 500,000 lengo kubwa katika maisha yangu ni kujiajiri,,sitaki baada ya kumaliza chuo ninuse hata ofisi ya mtu bali niende uraiani kuendeleza miradi yangu niliyoianzisha...
  3. N

    Udsm chuo cha nne kwa ubora africa(ulikuwa mjadala mtamu sana)

    Nilikuwa nipo maeneo fulani hivi tukiwa na baadhi ya watu wazima ambao pengine naweza kusema wameona mengi hapa Tanzania. -mzee mmoja akauliza nasikia wanasema udsm kimekuwa chuo cha nne africa?,,alafu akauliza kwa ubora au kwa ujinga akajibiwa kwa ubora. akacheka sana kisha akasema watanzania...
  4. N

    Natafuta projector nina shilingi laki tatu(300000)

    Heshima kwenu waheshimiwa,,,,naomba msaada kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata projector kwa laki tatu
  5. N

    Habari njema form four..............st joseph university in tanzania

    kwa kuwa mimi ni mdau wa hapa jamiiforuns na pia ni mwanafunzi wa chuo hiki cha st joseph,, tume ya vyuo vikuu tanzania(TCU) na chuo hiki....wamekubaliana wanafunzi wa form four wanaweza kusoma fani ya elimu(education) kwa ngazi ya shahada(degree),,,lakini ni miaka mitano(5 years),,, sifa za...
  6. N

    Je ni nini msimamo wako kuhusu ndugu zetu wa mtwara?

    heshima kwenu wakuu binafsi nimejaribu kuliangalia hili suala la gesi huko mtwara na nikagundua serikali pengine(sijathibitisha) imesha saini mikataba migumu ambayo inaiweka pabaya na kushindwa kuwasikiliza ndugu zetu hawa wa Mtwara.......KWA SABABU 1.Je kama msambazaji wa gesi akiwa ni mkoa wa...
  7. N

    Msada msada msada wapendwa

    waheshimiwa natafuta field kwa mwakani mwez wa pili nachukuwa Civil engineering;;hivyo hata kama huna uzoefu wowote naomba unitajie kampuni yoyote inayohusika na maswala hayo utakuwa umenisaidia sana -nitapendelea zaidi ikiwa site field MUNGU AWABARIKI
  8. N

    Madhara ya alozera

    wadau huwa napenda kutumia alozera lakini kutokana na muda wangu kuwa mdogo huwa natengeneza nyingi ambayo huweza kukaa hata siku 5 na siweki kwenye friji nje ya kuwa inaweza kulewesha je kuna madhara naweza kupata kutokana na utunzaji huo? naomba msaada wadau NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU NA...
  9. N

    Haya tuwajadili hawa sasa

    Jamani vipi hatima ya mikopo kwa wanaoendelea na masomo?,maana hapa mwenzenu nimechanganyikiwa,,,mwenye uelewa wowote tafadhalo naomba anipe taafifa natanguliza shukurani
  10. N

    Jamani mbona hili sioni likigusiwa humu jukwaani

    Vipi hatima ya mikopo kwa wale wanaoendelea na masomo? Maana mimi sielewi chochote mpaka sasa?,,,,,tufahamishane jamani
  11. N

    Nisaidieni watanzania wenzangu

    Jamani ninachukua degree ya engineer bahati mbaya mwaka 2011/2012 nilikosa mkopo nilijitutumua mpaka nikasoma hivohivo(nina deni chuoni) lakini niliapply tena je utaratibu ukoje kwa sisi tunaoendelea na ,masomo vyuoni,,yaani kuhusu mikopo au ndo baso tena natatanguliza shukurani zangu
  12. N

    This is "st joseph university in tanzania"-tuache kushabikia ujinga watanzania wenzangu"

    JAMANI WATANZANIA WENZANGU NAJUA WENYE UPEO MDOGO HUZANI HIKI CHUO KIONATESA WANAFUNZI ILA NIMEFANYA UCHUNGUZI NA KUBAINI YAFUATAYO KATIKA CHUO HIKI -NI CHUO NAMBA MOJA TANZANIA AMBACHO WANAFUNZI NA WAAADHILI WAKE WAKO MORE SERIOUSLY COMPARE TO OTHERS,RUSHA YA NGONO,PESA,MADESA HAYANA NAFASI...
  13. N

    Vyuo vitatu vya kwanza kutoa good engineers

    Heshma kwenu mathnker's,mwenye ufahamu juu ya vyuo vitatu,vinavotoa maingner wazur tanzania,atoe mchango wake
  14. N

    Je; serikali nzima itahamia Arumeru kama Igunga?

    Kwanza poleni na msiba wa mtanzania mwenze2 Sumari.jamani m2 kama faiza foxy ,ritz na wengne walioajiliwa na ccm kuja kuichafua cdm humu xasa lazma watambue kuwa haisaidii kwan hata ccm wanafahamu uozo mzima walioufanya na ndo mana hata wanapopatwa na pigo kama kufiwa hukosa raha kwa sasa ccm...
  15. N

    Tanzia: Mzee Kipara Ameaga Dunia

    Ndugu wanajf,msishangae kuona nmeandika kwenye jukwa la siasa,mim namin kwenye huzuni n lazima siasa na vingnevo 2vweje pemben,muigzaj wa kaole sana group anazikwa sasa kigogo-DAR ES SALAAM
  16. N

    Tanzania haina vigezo vya kuitwa nchi

    Nmekaa nkatafakari sana nkagundua Tanzania haina sifa ya kuitwa nchi,kwa sababu 1)tanzania haiongoz kitaaluma inaongozwa kisiasa 2)Viongoz wake hawana sifa ya kuwa kiongoz mf,KIKWETE alikuwa na sifa gan za kuwa kiongoz,hata taaluma yake haieleki vizuri 3)Tanzania inapelekeshwa na vijitu...
  17. N

    How to solve mkandala's problem of udsm

    Jaman mi naona wakati umefka,mkandala na wenzake wamefukuza wanafunzi ili kuwatisha wanafunzi wengine,MI NINA WAZO Jaman huyo mkandala si kila siku anapita mnamuona au?dawa yake huyo apigwe mawe mpaka kufa,ili na sisi 2watishe hao viongoz.maana wanataka ku2geuza cc mapumguami MKANDALA APIGWE...
  18. N

    St joseph college of engineering and technology~dar es salaam

    Kama kuna mtu ambae anafahamu ubora au udhaifu na sifa mbalimbali za hiki chuo,naomba anisaidie ukilinganisha na soko la ajila la sasa
  19. N

    Evening study

    Mim n mwanafunz wa chuo cha ST JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY,napenda kuwataarifu wote wenye matatizo katika masomo ya (math&physcs),lakini awe anaish mbez ya kimara muda ni saa 12-2ucku,pia kama **** shule inahtaji mwalmu wa kufundsha prepo,nafundisha...
  20. N

    Sponsor:global mission church

    Jaman hv nan anawajua hawa wa2,wanasema wanadhamn wanafunz wa vyuo vkuu,m n m1 wapo ambae nliaply na walnjb omb langu lmekubarka,na kunahd kuningza mahtaj yangu kwenye a/c,lkn n miez ming imepita bla kufanya walchonaid,je kuna m2 mwenye kuwafaham hawa watu vzur,mana wamepata wanavyuo wengi...
Back
Top Bottom