Madhara ya alozera

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
wadau huwa napenda kutumia alozera lakini kutokana na muda wangu kuwa mdogo huwa natengeneza nyingi ambayo huweza kukaa hata siku 5 na siweki kwenye friji nje ya kuwa inaweza kulewesha je kuna madhara naweza kupata kutokana na utunzaji huo? naomba msaada wadau
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU NA MUNGU AWABARIKI
 
kama ukiweka sukari baada ya hizo siku inachachuka na kua pombe kama hujawahi kunywa pombe kabisa unaweza ukalewa kwa mbali
 
Wajameni hivi hiyo Lozera huwa inatibu nini? Tafadhalini nijuzeni manake huwa naiona kwenye baadhi ya maduka ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki, almaarufu rambo nyeupe. Nimejaribu kuwauliza wauzaji hunipa majibu kuwa inaongeza damu na ni nzuri kwa kuitengeneza kama juisi! Mkuu MziziMkavu hebu nena nikusikie.
 
kama unaitumia kama dawa jitahidi kuitumia kwa muda wa siku 2 ili kuepuka kupotezd nguvu yake. kama unaitumia kama juice, baada ya siku tano haitakuwa na ladha nzuri. ama huwa unaifurahia ladha yake?
 
hajielewi, hebu naomba uache kumuuliza maswali ya degree mwanafunzi wa darasa la tatu a
asante msomi wewe mwenye degree lakini mbona inaonekana unaukosea haki usomi wako umekosa busara(karibu darasa la tatu a tukupe elimu ya busara na kujua kuheshimu hata walio chini ya kiwango cha elimu yako0'
 
Ile ina tabia ya kuchachuka km pombe...kwa kuwa utengenezaji wake n rahis jitahid kutengeneza kias cha kutumia kwa cku 2..hifadhi sehemu isiyo na joto kukwepa kuchacha..inasemekana ni nzur,inasaidia digestion..pia inaongeza sana damu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom