Je; serikali nzima itahamia Arumeru kama Igunga?

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Kwanza poleni na msiba wa mtanzania mwenze2 Sumari.jamani m2 kama faiza foxy ,ritz na wengne walioajiliwa na ccm kuja kuichafua cdm humu xasa lazma watambue kuwa haisaidii kwan hata ccm wanafahamu uozo mzima walioufanya na ndo mana hata wanapopatwa na pigo kama kufiwa hukosa raha kwa sasa ccm haiombolez 2 kufiwa na Sumari bal imeunganisha na maombolezo ya kupoteza hyo nafas sitaki kusema hcho kiti kitaenda kw nan?kwan aliye na ufaham n lazma atakuwa anajua hvyo ndugu zangu cdm uhakika wa kuitawala h nch upo na ccm kwa xasa wanatapatapa,
swali langu:je serikali nzma itamia arumeru?
 
Acha siasa zako uchwara huu ni wakati wa msiba suala la uchaguzi limetoka wapi tena saa hizi acha Unafiki,jiheshimu kama mtu mzima acha kuleta porojo, na pia acha tabia ya kuongea kwa niaba ya chama cha siasa ambacho kwanza hakijakituma na wala hakikutambui.

Heshimu familia yake ambayo kwa sasa inaomboleza.
 
Back
Top Bottom