Vyuo vitatu vya kwanza kutoa good engineers

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Heshma kwenu mathnker's,mwenye ufahamu juu ya vyuo vitatu,vinavotoa maingner wazur tanzania,atoe mchango wake
 
pix_grey.gif
pix_grey.gif
Rank of Universities of Tanzania, United Republic of
pix_grey.gif
pix_grey.gif
First | Previous | Next | Last | Universities 1 to 6 of 6
POSITION
pix.gif
WORLD RANKUNIVERSITY SIZE VISIBILITY RICH FILES SCHOLAR
3438 University of Dar Es Salaam 2,589 4,395 3,962 4,024

8427 Sokoine University of Agriculture 7,901 8,211 8,990 7,229

8819 Hubert Kairuki Memorial University 6,113 8,872 13,382 6,048

9335 Open University of Tanzania 9,430 11,149 6,533 7,229

10107 Mzumbe University 5,903 11,877 12,286 7,229

11191 Muhimbili University College of Health Sciences 12,641 10,885 9,048 7,229

 
Chuo cha dit........ndio chuo bola kuliko udsm......kwani dit wanachukua wanafunzi toka technical schools ambao husoma masomo ya uhandisi tokea form one.........dit man ndo chuo bola udsm......hamna kitu.....st. Joseph uozo mtupu,mist kidogo wanajitahidi.......ukitaka kujua fanya utafiti wahandisi bola uliza wanatokea wapi
 
DIT..is da best. Coz wahtmu weng wa dit wanamcng mzur kwenye engineering. Wanachukua Diploma wanapomlza 4m ..4 dan wanaunga Bsc.
 
Udsm.........theory nyingi............dit practical ni nyinyi na lab za kutosha chagua mwenyewe
 
Kuna mdau hapo hajui maana ya Engineer na Technician!!!Hakuna chuo bora cha Engineers TZ........?kidogo DIT!
 
Back
Top Bottom