Nafuatilia mwenendo wa Bunge la Katiba kwa kweli nasikitishwa na namna wanavyoenenda bila kujali muda. Kwanza wanachelewa kuanza mjadala,lakini pamoja na kuchelewa huko bado wanatumia muda mwingi kubishana kwenye hoja ambazo hazi tija kabisa! Kwa mfano wametumia zaidi ya dakika 45 kubisha juu ya...
Baba wa Taifa, Mwl. J.K Nyerere katika kitabu chake kiitwacho UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA ukurasa wa 50 anasema hivi:
RAIS MWINYI NI MTU MWEMA NA MPOLE, LAKINI NI DHAIFU; NA UPOLE WAKE NA UDHAIFU WAKE UNATUMIWA NA WATU AMBAO WALA SI WEMA WALA WAPOLE KUHATARISHA UMOJA NA AMANI YA NCHI...
"A Govt which uses power/force to rule it's people teaches the people to oppose the Govt"
Hon. Mbowe quoting Comrade Mandela!
Nawaalika wanajamvi tutafakari kauli hii vs ubabe vyombo vyetu vya dola hasa Polisi!
Pipooooooooooooooooooooz pawaaaaaaaaaaaaaa!
Habari zilizotanda magazeti mengi leo:
Mgomo wa madakitari waendelea na wazidi kutanda nchi nzima!
Walimu waipa serikali siku 14 kama madai yao hayatatekelezwa watagoma!
Walimu 746 walala wandamana ofisi ya Mkuu Wa Mkoa Mwanza wa kishinikiza kulipwa madai yao!
Chuo cha muhimbili...
Wanabodi hebu tujaribu kutafakari slogan hizi zimetufikisha wapi? Je ulikuwa usanii!
Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya!
Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!
Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi!
::::::::::::::
Wana Bodi wenzangu, labda nianze kwa kusema sina wasiwasi na utendaji wa Celina Kombani hata kidogo kwa kuwa sote tumemuona akiwa naibu Waziri na baadae Waziri kamili kwenye wizara nyingine.
Hata hivyo Kama kuna makosa makubwa ya uteuzi Wa mawaziri rais aliwahi kufana ni hili la kumteua...
Je ni sahihi kuvunja mkataba wa kimataifa kwa azimio la bunge! Nasikitika sana kwamba bunge linaelekea kurudia kosa Kama lile la Dowans liloigharimu nchi yetu zaidi ya bil, 90/-.
Asubuhi Waziri Ngeleja pamoja na mapungufu Yake alitusome utaratibu ambao serikali na Pan African walikubaliana...
Pamoja na umri wangu kuwa wa kawida lakini nimebahatika
kuviona na kuvitambua vipindi vyote vya u-rais na "ikulu" zake!
Kwa tathimni ya ngungu ikulu ya kipindi cha u-rais cha kikwete
is too accessible! Nina wasiwasi sana na accessibility hii, hasa
hii inayoendelea sasa kwa madai ya...
Kwa namna mambo yanavyoenda juu ya ushughulikiaji
wa mgogoro baina ya wizara ya afya na madaktari ni
wazi anayeumia ni mwananchi Wa kawaida ambaye hana haki wala uwezo wa kwenda kwa matibabu nje ya nchi.
Kinachoonekana wazi ni kwamba viongozi wa wizara wameshindwa kushughulikia mgogoro...
Ni kweli kabisa kwamba Umombo siyo Lugha yetu ya Taifa kwa kuwa Lugha yetu ya Taifa ni Kiswahili. Lakini tususaha kuwa tumekubali umombo siyo tu kuwa Lugha ya Kimataifa bali kuwa moja ya Lugha za mawasiliano rasmi ya kiofisi. Cha msingi zaidi tumeamua na tuanaendelea kusisitiza kuwa lugha ya...
Mapema leo asubuhi nilipost thread kuhusiana na mtazamo wangu juu ya namna ambavyo mchakato wa mjadala wa muswada Wa mapitio ya katiba ulivyotekwa na kuathiriwa na baadhi ya watu "elites" kwa kisingizio kwamba wanatuwakilisha wananchi. Aidha, nilijaribu kutaadharisha kuwa michakato ya kutunga...
Kwa hali inavyokwenda kwa sasa juu ya majadiliano kuhusiana na Muswada wa Mapitio ya Katiba ni wazi kwamba kuna baadhi ya watu au vikundi vya watu, ama "wanasiasa", "wasomi" au "wanaharakati" wameteka mchakato mzima na wao kujifanya ndio wananchi. Hii inaweza ikapelekea katiba mpya itakayotungwa...
Asubuhi tulitarifiwa kwamba Mzee Wa intelijensia atamwaga upupu juu ya namna jeshi lilivyoshughulikia madai ya Dr Mwakyembe. Wana JF mliopo Dar tupeni updates.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.