mwikumwiku
Senior Member
- Jul 15, 2011
- 153
- 35
Je ni sahihi kuvunja mkataba wa kimataifa kwa azimio la bunge! Nasikitika sana kwamba bunge linaelekea kurudia kosa Kama lile la Dowans liloigharimu nchi yetu zaidi ya bil, 90/-.
Asubuhi Waziri Ngeleja pamoja na mapungufu Yake alitusome utaratibu ambao serikali na Pan African walikubaliana namna ya kusuluhisha migogoro itakayo jitoke katika mkataba, utaratibu upo wazi!
Leo wabunge wanataka kuvunja mkataba huo kwa azimio la bunge!! wana jf tunaingizwa kwenye hasara nyingine ya mabilion! Huu ni ujanja Wa baadhi ya mafisadi kufrustrate mikataba huku wakijua bunge letu litakurupuka kuvunja mkataba huo na hatimaye wapate mabilion ya fidia Kama ya dowans!
Kwa wanasheria hasa waliosoma private international law watakubaliana na mimi kwamba mkataba Kama huu si Wa kukurupuka kuuvunja kwa azimio la bunge!