Search results

  1. The dirt paka

    The question before choosing a wife.

    je kwanini mwanamke huwa hayuko tayari kutumia pesa zake kama zinavyotumika zamwanaume katika mambo binafsi na yakifamilia?
  2. The dirt paka

    The ambassador of love 2

    Unapotafu mwenzi wakuoa, kijana wakiume anapoulizwa unataka mwanamke wanamna gani ili afae kuwa mke mwema? HUJIBU KUWA ANATAKA MWANAMKE ANAEJUA KULEA WATOTO VIZURI. Je hii humanisha anataka mwanamke ambae aliolewa akazaa akaachika akiwa tayari amejua/amepata uzoefu wakulea watoto?
  3. The dirt paka

    The ambassadors of love 1.

    "Bwana Mungu akasema, Si Vema Huyo Mtu Awe Peke Yake, Nitamfanyia Msaidizi Wakufanana nae, KATIKA BIBLIA MWANZO 2 : 21.Bwana akamletea Adam usingizi mzito nae akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake, 22.Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya...
  4. The dirt paka

    Katiba na mahitaji yetu

    Hatuna haja ya kubishana na mamlaka sana kuhusu katiba tunayoitaka ila la msingi ni kuomba KATIBA HIYO ITUACHIE UHURU WETU KATIKA DINI NA KUABUDU, bila kujali ni mamlaka ya nani/ipi/ kati ya watawala na wapinzani au umma imeamua katiba iweje.
  5. The dirt paka

    Je yawezekana?

    Hivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?
  6. The dirt paka

    Back with a kiss

    Ni muda kitambo nimewamiss sana wapenzi wangu hapa jf da! Msinifikirie vbaya sitawatosa. Liz, Afrodenz, Michelle, Husininyo, Asha Dii, Dena amsi, Uporoto, first lady na wengineo kidole kimechoka kuandika majina mengine hayasomeki in series kwa jinsi yalivyo feki na initials. Jamani mpoo...
  7. The dirt paka

    Conflict of interest/ccm vs chadema

    Mafuta tunayopaka katika miili yetu ni kitu kisichozungumza, lakini athari zake ni kubwa. Ubaya au uzuri wake husikika na kuonekana kwakuhisi harufu za aina mbalimbali yanazotoa na hatuwezi kuyaacha kwasababu hutufanya kupendeza. Hapa ndo ninagundua si jambo rahisi kujitenga na siasa...
  8. The dirt paka

    Love and technology

    Habari zenu ndugu wanaJF wenzangu. Natumaini kila mtu hufanya na kukipenda kile kinachomridhisha na kuifanya siku yake kuwa njema aidha kwa tamaa, mkumbo au dhati ya moyo. Na pale penye manufaa/utamo ndipo mirija ya kunyonya hutumbukizwa na pale pasipo tija mirija ya kumwaga taka...
  9. The dirt paka

    Lowassa for CHADEMA, mpokeeni

    Hey! CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu, pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na...
  10. The dirt paka

    The Generalization, I hate.

    Ndugu wanaJF tumekuwa tukiishi katika jamii tofautitofauti za KiTaNzania na kushuhudia mambo mengi mabaya na mazuri tukajitahidi kuyakemea yale mabaya kwamanufaa yakuwa na jamii yenye maadili. Nami naandika uzi huu, eti wanawake wakichaga-wanapenda hela, wabahili, wauaji(wamachame)...
  11. The dirt paka

    Wizi na ufisadi mpya UDOM

    Ndugu wana Jf husika kichwa cha habari hapo juu. Tumeweza kushuhudia migomo kadhaa ya wanavyuo mbalimbali hapa Tanzania kiklwemo chuo cha UDOM. Miezi kadhaa iliyopita palitokea mgomo kakatika college of social science wakidai kunyimwa haki yao yakwenda field katika kujifunza kwa vitendo...
  12. The dirt paka

    The hood of pains

    Napenda kuudedicate wimbo huu kwa wanaJF wote mtakaotoka out na wapenzi wenu wapya leo Easter2011. Verse 1 SAJINA : Umechagua adhabu ya kujiua, Iweje sumu umezee maziwa, Si ndoto alinacha unajua, Kwahuu wimbo nakupa ukweli, Umependa mwenyewe kuwa njiwa, Wivu wa nini kwa ng'ombe...
  13. The dirt paka

    The doubts of love

    Wanasema tu mapenzi huja na kukaa au kuondoka yakitaka. Na akupendae mpende lakini hii hutegemea na type yenyewe. Mimi nashangaa, najiuliza sipati jibu. Ninapoishi kwasasa nimezungukwa na wasichana wengi mno. Ila binafsi ni kijana mkimya sana nazaidi kwa wanawake hasa ambao sina jambo...
  14. The dirt paka

    Blessed CCM

    Ndugu wanaJF hawa jamaa walianza vizuri kazi yao yakuvaa viatu vya wakoloni na nembo safi ya nyundo na jembe literary "WAKULIMA" na "WAFANYAKAZI" WaTanganyika tukawaamini baada ya Utanzania longolongo la Kibongo likaanza, wakatuibia nchi yetu na rasilimali zetu na kututenda jeuri all because of...
  15. The dirt paka

    New comer

    Rich people have their friends, poor people also, even disables have theirs. At the end of the journey friendship compiles happynes. Here I come changes on fingure. The dirt cat nipoken japo nimepitiliza hadi chumbani. Hodi hodi jamani!
Back
Top Bottom