The dirt paka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 371
- 67
Ndugu wana Jf husika kichwa cha habari hapo juu.
Tumeweza kushuhudia migomo kadhaa ya wanavyuo mbalimbali hapa Tanzania kiklwemo chuo cha UDOM.
Miezi kadhaa iliyopita palitokea mgomo kakatika college of social science wakidai kunyimwa haki yao yakwenda field katika kujifunza kwa vitendo, ilifuata college ya education iliyotingisha zaidi katika maandamano na mgomo wakidai huduma mbali mbali kama maji, then matatizo yakitaaluma kama kupigwa extreme lectures yaani course yakusoma miezi mitatu mnafundishwa siku 3, then evaluation and assesment kwakupewa test moja badala ya mbili na assignment pia seminar presentations, n.k. Kikubwa ni kupunjwa pesa za field na wengine kukosa kabisa ambapo baadae ilifahamika pesa hizo zimekombwa na jamaa wachache katika management ya udom na hazijarudishwa hadi dakika hii.
Ndipo ulipofuatia ule wa college of informatics iliyofungwa.
Leo hii ni semister yapili. Ni utaratibu uliopo mwanafunzi kuingia mkataba na board ya mikopo ya elimu ya juu almaarufu kama heslb pasipo kuhusija chuo kwa maana kuwa ni taasisi mbili tofauti.
Na chuo humdahili mwanafunzi na kutoa taarifa heslb kuhusu uwepo wa mwanafunzi kila mwaka hasa kwa matokeo yake.
UDOM Kunaupumbavu umetokea tena, heslb hutoa pesa za ada na kuzituma chuoni na list ya majina ili wanafunzi wasaini kudhihirisha wamepokea na wapo.
Kunabaadhi ya wanafunzi tangu waanze mwaka wakwanza hawajawahi kusaini katika list bali huandika majina yao katika karatasi detail zao nakupelekwa heslb.
Wanafunzi hao walisaini tena zaidi ya mara tatu na mara ya mwisho afisa mikopo aliyeajiriwa alilet majina yao katika list japo hawakusaini wote deadline ikiwa tarehe tano/6 may 2011.
Leo hii mtu mmoja anayejiita Dr. WAME ameandika barua heslb kuiomba ivunje mkataba wakuwalipia wanafunzi hao bila consultatio yoyote kujua mambo yalivyo.
Principle wa college na Dean of students, afisa mikopo hawajui kinachoendelea, nakuvuja kwa siri hii ni baada ya m/kit college ya education kuibandika barua hyo kimakosa alipotumiwa kama nakala yake katika ofis ya wanafunzi udoso. Je huu si ufisadi?
Na je sheria gani inayoruhusu mtu kusitisha mkataba wa mtu? Wakati taratibu za board hazielekezi katika form ya mkataba. Jamani wafanye nini hawa waende mahakamani kumshitaki huyu shetani( wame) ? Au!
Maana wapo waliosaini na wamekuwa terminated.