Love and technology

The dirt paka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
371
66
Habari zenu ndugu wanaJF wenzangu.


Natumaini kila mtu hufanya na kukipenda kile kinachomridhisha na kuifanya siku yake kuwa njema aidha kwa tamaa, mkumbo au dhati ya moyo.



Na pale penye manufaa/utamo ndipo mirija ya kunyonya hutumbukizwa na pale pasipo tija mirija ya kumwaga taka huchomekwa ikazisafirisha hadi mitaroni.

MY TAKE : jamii forums ni mtando bora wakijamii Tanzania, maana umegawa majukwaa yanayokidhi hitaji la kila mshika, katika majukwaa yote hapa Jf hili la mahusiano, mapenzi na urafiki limekuwa pumziko na kivutio cha wengi.


SWALI :
1> JE, jukwaa hili limekuwa na manufaa gani kwako? (hasi/chanya),
2> Program/Content zake ni zae au tasa?
3> Unaionaje hali yako yakukabiliana na changamoto za kimahusiano kabla na baada yakujiunga na kuwa mpenzi wa jukwaa hili hapa Jf?
4> Na nini kifanywe na mashabiki wajukwaa hili kwa faida zao wenyewe na heshima ya jukwaa hili?.
Kazi ni kwako...!
 
Mkuu jamiiforum naipenda coz imeweza na mpaka sasa inaniunganisha na watu wengi ukiawamo wewe! Then hunipa faraja kwa stori za humu, kifupi nainjoy! Bt usipokua makini kuna comments za watu fulani zaweza kukupoteza!
 
Mkuu jamiiforum naipenda coz imeweza na mpaka sasa inaniunganisha na watu wengi ukiawamo wewe! Then hunipa faraja kwa stori za humu, kifupi nainjoy! Bt usipokua makini kuna comments za watu fulani zaweza kukupoteza!

unaenjoy vipi Gagu. Naaa... Ni story gani zinawekukupoteza?
 
1.kuna muda naupoteza.
2.naweza kujua watu wanawaza nini au wana hisia gani.
 
Kichwa cha habari kimenichanganya!!! aha kumbe wataka faida na hasara za hi iForum.

Nadhani kwenye swala la mapenzi Haina msaada wowote...ila ni sehemu nzuri ya kupoteza muda wako na ku have fun.

solution ya matatizo yako ni wewe mwenye na nyumbani kwako.

Unaweza ukashauri hapa kwamba "mkeo akikunyima na wewe mnyime"

loh ukimnyima tu kesho huyo anaenda kumpa mwenzio.

au unaweza pewa ushauri hapa ukajaribu Ukachezea kichapo na ukiwaeleza watakupa ploe tu

...sasa pole ya nini wakati hata panadol siwezi pata hapa!! aha raha lakini karaha

hehe!!!
 
Lo!
Teknologia ya mitandao yakijamii haijasaidia kabisa inovation yoyote iliyoweza kusaidia kupunguza vilio vya wale wanaojiita wapendanao mmmh!
Inapoteza muda tu?!
So no need for?
 
Back
Top Bottom