Conflict of interest/ccm vs chadema

The dirt paka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
371
66
Mafuta tunayopaka katika miili yetu ni kitu kisichozungumza,
lakini athari zake ni kubwa. Ubaya au uzuri wake husikika na kuonekana kwakuhisi harufu za aina mbalimbali yanazotoa na hatuwezi kuyaacha kwasababu hutufanya kupendeza.



Hapa ndo ninagundua si jambo rahisi kujitenga na siasa kwasababu tumeona na kuelewa kuwa sisi ni wahanga wasiasa hasa siasa tasa au zae, wala hatutawaacha viongozi wetu eti kwakuwa mara nyingi huwa ni mafisadi, wala hatuta viacha vyama vyetu wala serikali yetu. Yote haya yalianzishwa na watanzania wenyewe waliokuwa wazalendo katika kuhakikisha tunakuwa huru kujitawala, kujiendesha, namengineyo yaliyostahili ya taifa huru.



Lakini vyama vyetu vimekuwa ndio zao pekee linalosimamia suala zima kuunda serikali na sio mtu binafsi,



vyama hivihivi ndo
vimekuwa chachu ya maendeleo ya yaliofanywa kuwa viongozi teule na hawawezi kuviacha. Japo ni kweli kuwa :


*kiongozi anapotazama umma uliomtuma katika nafasi anayotumikia wanavyoteseka na yeye kustarehe maana ndo hupewa huduma nzuri kuliko raia yeyote roho huumia na kutambua wanachokifanya ni kosa hivyo hutamani kuacha ufisadi.


*anapokuwa ofisini anaomba chama chake kisianguke japo anatambua kimeshindwa kusimamia hitaji la umma yote hiyo ni ili aendelee kupata mshahara, posho, marupurupu yanayoridhisha mahitaji na ndoto za mwili na roho yake kutimia .


Kwa mambo haya CCM na CHADEMA wamekuwa walikumbana pia wanachama wao tunatuvutana.

My take : Ni mkulima gani awezae kulitia kibiriti shamba lake na kujichoma moto eti ili tu aliteketeze kundi la kweleakwelea waliolivamia shamba wakajenga viota katika matawi ya miti iliyomo shambani humo wakashambulia mazao na kuzaana?

Mnafikiri CCM wanaweza kufuta wanachama wake au kuwafukuza kabisa? Eti kisa muziki mzito wa CHADEMA? Useme walio safi wataikana CCM na kuingia CHADEMA au kukiangusha chama chao wenyewe kwakuupinga upupu wanaoagizwa kuuendeleza Bungeni?
WAR FRONT CHADEMA LETS GO!
 
Back
Top Bottom