The dirt paka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 371
- 67
Hivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?
Mh! Mkuu hujafunguka sana ila Kimaisha yaani kazi,fedha,utajiri n.k yawezekan, lakini yote haya bila familia ni sufuri.Kama ni wewe jitahidi uwe na mwenza ili ui-enjoy! Samahani lakiniHivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?
Ndiyo injwezekana
source and refference ni KAKA YANGU AMBAYE SASA NI PAROKO(Padre)
1.Unajuaje kama ana furaha ya kweli? 2. Na, je, unajuaje kama hafanyi mapenzi? Uparoko ni ajira tu kwa experience yangu.
1.Unajuaje kama ana furaha ya kweli? 2. Na, je, unajuaje kama hafanyi mapenzi? Uparoko ni ajira tu kwa experience yangu.
Kwa hapo sina lingine, nimeelewa. Lakini si unajua kuwa kuna ndoa nyingine ambapo mwenzi hana furaha kwa sababu ama ya kunyimwa ngono au kutotoshelezwa kimapenzi?Hajaulizia kuhusu kufanya ngono! Anaongelea connection kati ya kuoa na kuwa na furaha hata atakapokufa! Padri anaweza kuwa na furaha bila kuoa na bila kufanya ngono pia! Kuoanga ni kuchagua
Nijuavyo mimi ajira inatoa malipo yaliyokubaliana je analipwa ngapi?
Mi naona inawezeakana sana.ht miye na mpango wa kutokuoa nahisi ndio ntakua nafuraha kuliko m2 aliyeoa .........ukiwa na mitoto yako miwili ya kiume hapo ndani ya kukusumbua!! kuoa ya nn.
Hivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?
Haiwezekani.