Blessed CCM

The dirt paka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
371
67
Ndugu wanaJF hawa jamaa walianza vizuri kazi yao yakuvaa viatu vya wakoloni na nembo safi ya nyundo na jembe literary "WAKULIMA" na "WAFANYAKAZI" WaTanganyika tukawaamini baada ya Utanzania longolongo la Kibongo likaanza, wakatuibia nchi yetu na rasilimali zetu na kututenda jeuri all because of false politics maana chama kimekuwa cha wafanyabiashara. Pamoja na udhalimu kedekede, wametuchimbia kishimo mbele ili tudumbukie, eti wamejivua gamba mbona katiba ya chama haijabadilishwa? Hii inamaana gani? Au ndo wanatublind.
Anyway CDM pia ni wanasiasa can't they work on their interest after they get into the Whitehouse?
 
Hii post siyo kwake hapa!!this
Technology & Science Forum
 
Here is Science and techn only and not politics issue or others.Nakushauri uipeleke pahala kwake ili iweze kujadiliwa na wadau:yield:
 
Back
Top Bottom