Search results

  1. P

    Mbinu ya msichana wa kazi kuchakachuliwa..!!!

    Kuna house girl mmoja alibuni mbinu ya kutoka na njemba wake na kuchakachuana bila kujali kazi yake hasa ya kulea mtoto mdogo!!!Sokomoko lilitokea juzi wakati mama mwenye mtoto alipogundua kuwa housegirl anapobaki mwenyewe nyumbani huwa ana tabia ya kutoka kwenda kwa njemba moja...
  2. P

    Nidhamu ya upekuzi....!!

    Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka,huyo mbwa sasa atapekuliwa nini wakati hajavaa kitu....!!!
  3. P

    Sasa hii picha ni ya nani....!!!

    Picha ni ukumbusho!!sasa hapa ni ukumbusho wa nani? Hivi ni lazima upige picha namna hii!Toa maoni
  4. P

    Monkey_jorney to the west

    Wana jf,naomba kama kuna mdau anajua wapi naweza kuipata series yote ya hii filamu _drama inaitwa journey to the west aumaarufu kama monkey anijuze.kuna wakati ilionekana katika local tv ila sijaweza kuipata.
  5. P

    Saidieni_Jamaa amekula kuku,vifaranga na mayai !!!!

    Kuna jamaa mmoja amezidi sana kuchakachua,sijui ana pepo la ngono au amechanjia!!!Hivi kweli ni halali kuchakachua watu watatu wa familia moja???Jamaa alianza kutembea na dada mmoja(rika lake)-baadae wakaachana.Baada ya muda akaanza kutoka na mdogo wa huyo dada(wa tumbo moja) baadae...
  6. P

    Popobawa....!!!

    Popobawa akikutembelea eti lazima umtaarifu mkeo au mumeo au hata watoto kuwa umetembelewa ndio aache mchezo wake na kuhamia kwingine.Je kuna ukweli wowote!!!Kuna mtu mwenye taarifa sahihi au ushuhuda wa mwenza wake au jirani kutembelewa na hicho kiumbe,au zilikuwa fiksi tu za wabongo kutunga...
  7. P

    Binadamu kafungwa kama mbuzi....

    Nasikia huyu mtu ana mtindio wa ubongo na ni mkorofi usimpimie ndio maana anafungwa hivi ili asilete matata ya kudhuru watu na kudhurika yeye mwenyewe!Tuwachangie mawazo wanaomuuguza ili apate huduma bora kuliko kufungwa hivi kama mbuzi.Inaumiza kwa kweli
  8. P

    Huwa unawaza nini.....!!!

    Ile siku ya kwanza umeahidiana na mwenzio kwenda kula tunda aka kuchakachua ulikuwa unawaza nini?Hadi leo ukiwa na ahadi hiyo huwa unafikiria nini katika kuifikia shughuli yenyewe hasa ukiwa na partner mpya!!!Kuna kitu huwa unawazia tena baada ya mchezo au unaaga tu..lets go bcoz haina mantiki...
  9. P

    Maswali ya kikubwa.....!!

    Kuna watu huwa wanapat vigugumizi katika mambo haya:- Mosi: Unakaa mahali na wanawake,siku mdada amefua na kuanika nje nguo zake za ndani,Je inaruhusiwa kama imeanguka kumuinulia au kama mvua inakuja kumuanulia na kumpelekea au kama hayupo kumuhifadhia? Pili:Ukiwa unaishi na mwenzio(mke/mume...
  10. P

    Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

    Hapa ni ktk uzinduzi wa bajaj ya kubebea akina mama wajawazito wakati wa uzazi.Gharama yake ni dola 5900 (8.5milioni).Nikikumbuka vema hii ilikuwa ahadi ya mgombea wa ccm kuwa akichaguliwa ataleta bajaj kuondoa kero na vifo vya wajawazito.Wengine tunaiona kama guta,sijui wana jamii...
  11. P

    Chumba cha honey moon

    Hivi chumba cha fungate kinatakiwa kiweje?Hiki ni chumba kilichotumiwa na wanandoa fulani kwa ajili ya fungate yao yaani honey moon!!!Kuna sababu gani zinazowapelekea kuchukua chumba cha vitanda viwili wakati wameshakuwa mwili mmoja?
  12. P

    Nimempenda aliyejaliwa_zaidi anapenda mazoezi

    Huyu m-dada ni mojawapo wa kuwa mifano ya kuigwa!!Wanawake wengi hawapendi kufanya mazoezi hata kujinyoosha kwao ni tabu!Unaweza kujiweka freshi hata ukiwa chumbani mwako.Nadhani ndio maana ana shepu inayovutia wanaume wengi!!Maksi zangu za juu amepata,mpeni zenu wadau
  13. P

    Ukienda beach uhondo bwerere....!

    Watu wanapenda kwenda beach kuogelea lakini wapo wanaoenda kwa kuwa uhondo ni bwerere...
  14. P

    Swali kwa wapenzi wa kinywaji

    Kutokana na hali halisi ya usafi wa glasi kuwa kizungumkuti katika sehemu nyingi za vinywaji yaani hazioshwi,au hazioshwi vema au zinalowekwa tu kumekuwa na wimbi kubwa la watu kupiga tarumbeta(kunywea kupitia chupa bila glasi) Chupa za siku hizi hasa ndovu zina karatasi laini ambayo inafunika...
  15. P

    Wanawake kuwa na mkono wa birika

    Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi yeye bado atamuomba hata pesa ndogo ya mswaki.Hivi hii ni asili au nini?Vipato au mishahara yao...
  16. P

    Kipipa, kula ule mwenyewe tabu upate mwenyewe....

    Jamani tuache kula kula sana, na tuache uvivu wa kwenda h**a!!Unaweza kufikia siku ukawa kama huyu jamaa, kama makampuni yanavyomtumia
  17. P

    Msaada: Historia ya zamadamu......

    Kwa wale mliobobea katika HISTORIA,ipi ni historia sahihi kuhusiana na mabadiliko ya mwanadamu wa kale
  18. P

    Ungeipenda staili gani......!

    Kati ya staili hizo za mustachi,ungeipenda ipi!!
  19. P

    Safisha macho weekend hii

    Wikiendi ndiyo hiyo inaanza.Kwa wale tunaopenda kwenda beach au kupiga misele maeneo sio vibaya kusafisha macho kwanza kabla hatujatoka.Mimi naomba maksi zenu tu,kwa mwanaume ungependa ukutane au utoke na nani kati ya hawa!!!!Weekend njema
  20. P

    Tolu wa dunia...............

    Kuna wakati huyu best alikuwa anashikiria rekodi ya kuwa tolu wa dunia.Sio ngongoti wa kuchonga.Hapo yuko na familia yake!!Hongera zake
Back
Top Bottom