Safisha macho weekend hii

Pomole

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
257
7
Wikiendi ndiyo hiyo inaanza.Kwa wale tunaopenda kwenda beach au kupiga misele maeneo sio vibaya kusafisha macho kwanza kabla hatujatoka.Mimi naomba maksi zenu tu,kwa mwanaume ungependa ukutane au utoke na nani kati ya hawa!!!!Weekend njema

View attachment 22691
001n052-RXh.jpg
001i052nN48.jpg
 
Mi nataka hao wa chini hilo la katikati ili niweze katika nae katikati.weekend njema wadau tusisahau kinga.
 
Hao wa chini huyo wa kushoto amenikumbusha kitu kimoja nilikuwa nacho moja " rocky city"........:clap2:
 
Usipofanikiwa hapo kwa hao,cheki hata na mtoto huyu.Wengine wanaumbwa bana...
001O052nN48.jpg
 
shetani na ibilisi on work

nashkuru sana mheshimiwa PHD. Kweli wewe akili zako zinaonyesha una PHD ya ukwweli kama docta slaa.... Nikiwaambia vijana wadogo wanaoweka hizi picha za utupu humu jf wanakosea hawasikii... Narudia tena, acheni upumbavu na uzandiki wa kuweka picha za uchi humu jf. Sio ze utamu hii jamani, its a forum 4 all pipo. Wengine wanasoma izi forum wakiwa na watoto wao, sasa wkikuta picha kama izi inakuaje??
 
Tusiwalaumu wachina, wamegundua weakness za wakaka/wababa wa kiafrika................ hatushangai huko kwao wadada wao hawawapi hizo dawa wanazotuletea?
 
Back
Top Bottom