Binadamu kafungwa kama mbuzi....

Pomole

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
257
7
Nasikia huyu mtu ana mtindio wa ubongo na ni mkorofi usimpimie ndio maana anafungwa hivi ili asilete matata ya kudhuru watu na kudhurika yeye mwenyewe!Tuwachangie mawazo wanaomuuguza ili apate huduma bora kuliko kufungwa hivi kama mbuzi.Inaumiza kwa kweli
4.JPG
IMG_3517.JPG
 
Mbona kama nyeti ziko nje mkuu!!!
akiwa na mtindio wa ubongo haitaji kuvishwa panties!!!!
 
Anatakiwa apelekwe hospitali kama Mirembe - ndio walio na utaalamu wa kuwahudumia hawa.
 
Pomole, toa maelezo ya mahali huyu mtu alipo ili JF ilifanyie kazi. Ukitoa maelezo nitahakikisha in fortnight amefikiwa.
Nasikia huyu mtu ana mtindio wa ubongo na ni mkorofi usimpimie ndio maana anafungwa hivi ili asilete matata ya kudhuru watu na kudhurika yeye mwenyewe!Tuwachangie mawazo wanaomuuguza ili apate huduma bora kuliko kufungwa hivi kama mbuzi.Inaumiza kwa kweli
View attachment 25380
View attachment 25381
 
loh, jamani Mungu turehemu watoto wako.

masikini mwanamke huyu. mama yangu weee, sijui huyu ni mwano au mumeo. Mungu awe nawe katika mitihani yte hii unayopitia

jamani jaribu kuimagine mwanao yuko katika hali hii na wa kumudumia ni wewe mama yake . kijana wako yuko uchi na mgonjwa, ukimuacha hana msaada.

ooh, Lord have mercy on your children. amen

Glory to God
 
kiuhalisia huyo mtu wa ndani hayupo, wenyewe washamchukua analima mpunga mahali huo mwili ni gogo tu, anahitaji maombi ya kurudishwa!!

huu ni wangu mtazamo tu!!
 
Mmmmh anahitaji msaada mkubwa hii ni hatari sana mwe

wala hata si mkubwa unavyofikira K!!

ni kiasi tu cha kumwita njooooooooooooooo kwa jina la Yesu, mwenye mwili hayupo hapo kimsingi!!!

na hili ni jambo jepesi sana machoni pa Bwana!!!

mwenye masikio na asikie!
 
Back
Top Bottom