Sasa hii picha ni ya nani....!!!

Pomole

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
257
7
Picha ni ukumbusho!!sasa hapa ni ukumbusho wa nani? Hivi ni lazima upige picha namna hii!Toa maoni
00lE054n1h8.jpg
 
hii safi sana!namna hii hata ukimwi unaogopa sii kukaa wazi na vi skin tight vi top mapaja matiti njee
 
Hii ni picha ama fumbo...maana ukiiokota hata ikiwa ni ya jirani yako utashindwa kujua.
 
Mi nawajua wote
Ntarudi kuwatajia majina yao, umri, kazi na makazi!!!
Ntaanzia utande wa kulia waliosimama, usiulize kwa nini!!
 
Hii ni picha ama fumbo...maana ukiiokota hata ikiwa ni ya jirani yako utashindwa kujua.

Sijui hata mpiga picha wana muonaje hapo,hata macho hayaonekani wala hayaoni mbele,duh huu ni unyanyapaa wa wenzetu
 
Back
Top Bottom