Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo,
Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1,
Leo hii wametimiza miaka 10!
Lakini cheo walipata mara moja tu!
Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja!
Miaka 10 daraja moja!
Mungu awatie...
Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.
Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo).
Najiuliza mfanyakazi...
Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI
Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..
Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
Natamani kujua,
Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara,
Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali..
Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.