Serikali imewahakikishia majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inafanyia kazi maoni na mapendekezo yao kuhusu maboresho ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema hayo leo...
Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile.
Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
I don't want to mention Dr Dorothy Gwajima. Ndalichako is strong than mama Samia.
She can say something loudly for people to work up, no body is telling it, but she is visionary.
Samia is there just by coincidence but in reality she's not supposed to be. Such uncompetent leader you can't...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo ‘gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema.
Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu) Mhe. Joyce Ndalichako amesema kuwa malalamiko ya wafanyakazi kuhusu makato ya mishahara yao yanashughulikiwa kwa kuwa serikali sikivu ya awamu ya 6 imesikia kilio chao.
Waziri amewataka wafanyakazi kuviamini vyama vyao...
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao.
Kongole sana Profesa...
Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni.
Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
Elimu ni mojawapo ya wizara zilizoleta taharuki ya kuondolewa mawaziri wao kufuatia ladha za utendaji wao zilivyokuwa tamu kwa taifa (wananchi).
Wizara zingine ni Ardhi na Sheria & Katiba. Malalamiko ya ardhi yaliyokuwa yamepunguzwa sana na Mhe. Lukuvi sasa yameanza kurudi kwa kasi.
Prof...
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima
Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa?
Kumsifia Rais au kunisaidia Rais?
Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti...
Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG kusema vinginevyo, ameendelea kushikilia msimamo wake kwa madai ripoti hiyo inaishia June 2021.
Waziri...
Waungwana niwatakie jumapiki njema!
Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...!
Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi!
Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la Madarasa. Amesema Serikali imewezesha ujenzi wa Madarasa mapya elfu 15 Nchi nzima kwa mkupuo huku...
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe.
Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton...
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri.
Katika hali ambayo ni ya kawaida, umezuka mjadala juu ya uwezo wako wa kujieleza kwa kutumia lugha ambayo kwa asilimia 90 ndio iliyokutunuku kiwango cha elimu ulicho nacho (prof) na watanzania wengi wameenda mbali na kusema kuwa elimu yako ni ya ubabaishaji...
Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa...
Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania.
Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani.
Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo.
Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.