Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
521
1,044
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini hawa.
 
Hawa ni machawa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mshahara haujaongezwa ndio watoke kwny baraza? Ubinafsi ni kansa. Hapo umejitazama vipi umewatazama na watanzania wengine. Au mkumbo tu
 
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini hawa.
Mbona kama hueleweki? Au umelewa!?

Hapo nyuma mlimtukana Magufuli kwamba hapandishi mishahara. Enzi hizi mnawatukana mawaziri na kumtaka Mwajiri mkuu awafukuze kazi.

Nyie ndio mnaitia doa dini!!
 
Kwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?

Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
Mfia dini huyo. Wa kwake hataki aguswe, yeye ni kuhangaika na Wagalatia tu!! Mwigulu na Nape majina yao yangeanza na Hussein, Suleiman au Abdul wala asingeandika upumbavu huu
 
Kweli kila mtu anavutia kwake....; Na Bashe anafanya vyema ? Au sababu wewe sio Mkulima ?

Ukiniuliza mimi mlaji Mkulima ni asset kuliko nyie watumishi mnaohesabika kwa tarakimu chache (sio kwamba hamna umuhimu ila ila kulinganisha na hawa peasants nadhani wana umuhimu zaidi)

By the way ili kufahamu ugumu wa kitaa jaribu kuachia hio position uone kama watu hawatainyakua...
 
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.

Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.

Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!

Piga chini hawa.
Kwamba dawa ni kubadilisha wapya kabisa ndyo ingesaidia,, chamsingi pigeni kazi
 
Ndugu watumishi naendelea kuwakumbusha kuwa kulipa kodi ni uzalendo

images (38).jpeg
 
Kwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?

Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
Wewe ungekuwa mwalimu ingebidi ufukuzwe kazi kwa upendeleo wa maksi. Hiyo akili ndogo uliyompa umempendelea sana huyo ilibidi useme Hana akili☹️☹️
 
Hii nchi kipato chake ni kidogo sana. Deni la taifa na mishahara na posho vinakula zaidi ya 50% ya makusanyo. Huyo Raisi mjinga hivyo wa kuwaongeza mshahara mtampata wapi nyie. C kwamba Samia hapendi ila Hana ujanja
 
Wanadai pesa zilitakiwa ziletwe na DP world, watumishi wanaanza safari nyingine ya machungu ya kutopandishwa mishahara tokea ongezeka la 23% liote mbawa dakika za majeruhi.
 
Hii nchi kipato chake ni kidogo sana. Deni la taifa na mishahara na posho vinakula zaidi ya 50% ya makusanyo. Huyo Raisi mjinga hivyo wa kuwaongeza mshahara mtampata wapi nyie. C kwamba Samia hapendi ila Hana ujanja
Haa aliambiwa aropoke kuwa atawaongezea watu watu misha mishahara ili amfunike mtangulize wwke watu wakapiga makofi alipoenda hazina akakuta amna kitu
 
Kwahyo unaamini kabisa kwamba A mere minister can stand on her excellence so called “Nia njema” na akabaki salama..??
Yaani unataka kusema Mwigulu ni mkubwa kuliko Head of state..??
Huwaga mnawaza ujinga tupu
 
Back
Top Bottom