Mitandao ina nguvu; hatimaye Azam TV wamekuwa waungwana kwenye Krismasi ya mwaka huu 2023

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
534
1,048
Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI

Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..

Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa makusudi neno "Christmas" na badala yake wakatumia neno sikukuu "Tunawatakia Heri ya sikukuu na mwaka mpya"

Lakini mwaka huu CHRISTMAS imetaradadi huko Azam tv.

Basi burdani kwa wote.
 
Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI,
Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..

Kwamfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa makusudi neno "Christmas" na badala yake wakatumia neno sikukuu
"Tunawatakia Heri ya sikukuu na mwaka mpya"

Lakini mwaka huu CHRISTMAS imetaradadi huko Azam tv

Basi burdani kwa wote
Yaan hata kama walifanya bahat mbaya itaonekana walikusudia tu. Mwaka juz nao vipi mkuu? Waliweka au hawakuweka?
 
Wataje wasitaje Yesu anabaki ni yeye jana leo na hata milele
 
Tena wanaweka na ile movie yao ya vikatuni ione leo usiku naomba nipate nguvu ya kuiangalia maana mimi na Bongo movie ni maji na mafuta
1683574157974 (1).jpg
 
Back
Top Bottom