Kuhusu mishahara wakati wa sikukuu, Serikali iache double standard

Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae...
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini,
Lakini watu wakakaza fuvu..
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas
Zanzibar ni nchi ile!! Tena Islamic State!! Hivyo ina haki ya kujiamulia baadhi ya mambo yake. Sema tu haipati ile heshima yake inayostahili kwa sababu tu ya kupenda kuwa kupe wa Tanganyika.
 
Wale ambao hatutegemei mshahara au mshahara wa Disemba uliishaisha yaani umeishapigiwa hesabu za ada ya Januari unatushauri nini?
 
Miaka yote mishahara inawahi kabla ya xmass hata mwaka huu itawahi..

Sasa wewe ulipiga kelele zenji ili iweje??
Kuna baadhi ya watu wana chuki za kidini zilizopitiliza kiasi kwamba wanalaumu hata dhiki na njaa zao kwa dini nyingine.

Point hasa si mishahara hapo, point yake ni kuwa anachukia waislamu.
 
Kuna baadhi ya watu wana chuki za kidini zilizopitiliza kiasi kwamba wanalaumu hata dhiki na njaa zao kwa dini nyingine.

Point hasa si mishahara hapo, point yake ni kuwa anachukia waislamu.
Sasa serikali ikiambiwa iache doublr standard ndo kuchukia waislam???
 
Zunguka ofisi za taasisi kubwa za serikali kubwa zote kuna miti ya X mass tangu trh 2 mwezi huu ,halafu huseme hawajui?

Wenzio washapewa na mpaka trh 22 ni kama wote we tulia maana sikukuu ni trh 25.
 
Back
Top Bottom