Search results

  1. Planett

    Bima ya afya ya NHIF ni useless kabisa...

    Bila shaka mmeamka salama, Yaani nina hasira sana leo.... Mimi ni mtumishi wa umma ambae kila mwezi nakatwa contribution kwa ajili ya mfuko wa bima ya afya. Sasa leo mwanangu anaumwa halafu naambiwa bima ya afya haiwezi kuaccomodate kipimo cha typhoid kweli? Kipimo cha elf 20 bima imeshindwa...
  2. Planett

    Watanzania tujifunze kuwa na matarajio yenye uhalisia

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Hivi karibuni kumeibuka crypto token moja inaitwa PI na watu wengi wanafanya mining na hii imerahisishwa zaidi kwani mining unaifanya kwa njia ya simu. Tatizo linakuja huko kwenye magroup ya watsapp na telegram naona ndugu zangu watanzania wanavyokua na matarajio...
  3. Planett

    Rate ya wanaume kukataa watoto inatisha sana

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Wakuu kuna siku nilipata fursa ya kutembelea moja ya maabara za mkemia mkuu wa serikali a.k.a GCLA kwa issues kadhaa. Sasa nilipofika katika pitapita nikakatiza waiting area ya watu wanaoenda kupima DNA, aisee kwa haraka haraka nilikuta kama wanawake 30 hivi wakiwa...
  4. Planett

    Kwa gharama kubwa za original spares acha mchina aendelee kupeta

    Hope wote mnaendelea vema na majukumu, Ebana eeh, kababy walker kangu kalizingua front wheel bearings nikiwa mkoani. Sasa jamaa wa garage akashauri tuagize kutoka Dar, kuuliza bei nikaambiwa kwa bearing moja ni Tsh. 55,000-70,000 nikaona kusubiri spare napoteza muda. Nikanunua moja mtaani ya...
  5. Planett

    Abood Bus jaribuni kua serious kidogo.

    Wakuu bila shaka mmeamka salama, Back to the topic, Hivi kampuni kubwa kama Abood mnatukalisha abiria zaidi ya saa zima na bado hatujui tutatoka saa ngapi kisa bus limekata belt? Tena afadhari ingekua tatizo limetikea porini ila ni mjini kabisa. Imagine mtu kaamua kukata tiketi bus bus la saa 9...
  6. Planett

    Gharama za ujenzi zinazidi kupanda

    Wakuu hebu someni huu ujumbe kama nilivyoupokea kutoka kampuni moja ya uzalishaji materials za ujenzi... (NABAKI AFRIKA LTD). Dear Customer I trust this message finds you well. As you might be aware, the Tanzanian Shilling has experienced a steady depreciation against the US Dollar over the...
  7. Planett

    Serikali ingulieni kati tatizo la mafuta Kilwa

    Hii sasa ni too much, sheli zote kilwa masoko/kivinje zimefungwa isipokua sheli moja tuu ya LAKE OIL ndio inapiga kazi. Hiyo foleni hapo lake oil (Nangurukuru) sio ya mchezo. Nawaomba wahusika mlione hili kama tatizo kubwa sababu wapiga kura wenu ndio tunaoteseka.
  8. Planett

    Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR 9 Juni 2023Haki za binadamu Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
  9. Planett

    Nampongeza sana Mtumishi huyu wa Uhamiaji

    Bila shaka kila mmoja ni mzima wa afya, kwa wanaosumbuliwa na matatizo ya kiafya na wenye changamoto nyingine Mwenyezi Mungu awasimamie. Ni kawaida pale ambapo Watumishi wa Serikali kwenye taasisi na mashirika wanapovurunda basi huwa malalamiko yanaletwa hapa kwa lengo kwamba wahusika wataona...
  10. Planett

    Sema kimeumana

    Hivi hawa jamaa kwanini ukiwastukia wanajaa mapovu?
  11. Planett

    Dr. Mwaka kafuatilie vizuri kisa cha Malcolm X.

    Ni matumaini yangu wote ni bukheri wa afya, Nimejaribu kufuatilia huu mtifuano kati ya TABIBU Mwaka na viongozi wa dini (especially waislamu). Kitu kimoja ambacho Mwaka hajang'amua ni kwamba anachoongea ni sahihi 100% ila kuwasema viongozi wa dini hadharani ni mistake kubwa sana amefanya...
  12. Planett

    Maoni: AzamTVMax Web App

    Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua...
  13. Planett

    Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

    Bila kumung'unya maneno, Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe...
  14. Planett

    Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

    Wakuu salaam, Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani. Sasa leo Joti kaachia kazi yake...
  15. Planett

    Airtel, please stop this nonsense...

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT, Imekua kawaida sasa kila nikipiga simu ya kwanza (kuanzia saa sita kamili usiku na kuendelea) napokelewa na ujumbe NDUGU MTEJA LINE YAKO HAIJASAJILIWA KWENYE MFUMO WA SPEED YA 4G HIVYO HUTAWEZA KUITUMIA KWENYE 4G TAFADHARI IBADILI SASA UPATE GB 7 BURE. Huu...
  16. Planett

    Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

    Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu. Nawasilisha. (1)Uzi wa watoto wazuri worldwide. Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies (2)Uzi wa wazee wa kula tunda...
  17. Planett

    Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

    Nimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio. Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi. Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua...
  18. Planett

    Naomba ufafanuzi kuhusu ujazaji fomu za maombi ya electronic passport

    Wakuu habari, Naomba kufahamishwa kwa anaejua hivi inawezekana kujaza form za kuomba passport mara ya pili endapo umeprint za kwanza na ukagundua kuna makosa katika ujazaji? Maana najaribu kuwapigia uhamiaji ili kupata ufafanuzi/ muongozo simu hazipokelewi. Nawasilisha.
  19. Planett

    Airtel msinisumbue

    Mwanzo shilingi 2000 ilikua napata 2GB/3days mkaona tunafaidi sana mkashusha mpaka 1.5GB. Sasa aliyewaambia hiyo 1.5GB kwa siku tatu ni BUNDLE PENDWA ni nani? Kama mnahisi ni bando pendwa nunueni wenyewe kobe nyie.
  20. Planett

    Hizi dharau sasa

    Mmekaribishwa kwenye ligi, hata hamjakaa vizuri mnaanza vijembe! Wait and see Poleni wana mtibwa..
Back
Top Bottom