Gharama za ujenzi zinazidi kupanda

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,425
15,983
Wakuu hebu someni huu ujumbe kama nilivyoupokea kutoka kampuni moja ya uzalishaji materials za ujenzi... (NABAKI AFRIKA LTD).

Dear Customer

I trust this message finds you well.

As you might be aware, the Tanzanian Shilling has experienced a steady depreciation against the US Dollar over the past few months. While we initially hoped that this trend would be temporary, thereby not affecting our pricing structure, the situation has unfortunately continued.

After careful and thorough analysis, we find it necessary to revise our prices. This step is essential for us to maintain the level of stock, service and product quality that you've come to expect from us.

Effective August 1st, 2023, we will implement a general price increase of 5%. We fully understand the implications of this adjustment and want to assure you that this decision was not made lightly, but rather out of necessity. We kindly request that you update your records accordingly.

We sincerely appreciate your understanding and continued partnership during these challenging times. Should you have any questions, or concerns, or need further clarification, please do not hesitate to contact us.

Thank you for your attention on this matter.
 
Nafikiri ni kawaida tu hasa kwa kipindi hiki tunapokua tunauanza mwaka mpya. Sema wao wamekua waungwana wametoa taarifa kwa wateja wao.
Lkn hata wasiotoa taarifa pia utakuta tayari kuna mabadiliko ya bei. Ukifuatilia 'bajeti" tayari unaona kutakua na ongezeko la bei kwa bidhaa fulani.
 
Leo nimeenda kununua nondo nikakuta imeongezeka buku maana juzi nilinunua nondo kwa 20000 leo nimekuta 21000
 
Sababu wametoa hapo ni kupanda kwa dollar wewe unaongelea budget? Umesoma vizuri walichoandika?
 
Nafikiri ni kawaida tu hasa kwa kipindi hiki tunapokua tunauanza mwaka mpya. Sema wao wamekua waungwana wametoa taarifa kwa wateja wao.
Lkn hata wasiotoa taarifa pia utakuta tayari kuna mabadiliko ya bei. Ukifuatilia 'bajeti" tayari unaona kutakua na ongezeko la bei kwa bidhaa fulani.
Hapana sio hivyo.
Shida kubwa ni kua raw materials au hata resale products ziko imported (US$) while sales are majorly in TZS.

Ukinunua kwao ukawapa TZS wanalazimika kwenda kununua kwanza USD kisha hizo USD ndio wanunulie nazo hizo raw materials au resale products. Sasa hapo kwe kununua hizo USD ndo issue ilipo.
 
Leo nimeenda kununua nondo nikakuta imeongezeka buku maana juzi nilinunua nondo kwa 20000 leo nimekuta 21000
mkuu eneo gani upo umenunua kwa 20,000 maana me nimeuliza nimeambiwa 27,000 (nilimuuliza fundi maeneo ya chanika au alitaka kunipiga)
 
Mkuu 12mm mapinga ilikuwa 20000 toka mwez wa tatu jana ndipo imekuwa 21000
 
Nafikiri ni kawaida tu hasa kwa kipindi hiki tunapokua tunauanza mwaka mpya. Sema wao wamekua waungwana wametoa taarifa kwa wateja wao.
Lkn hata wasiotoa taarifa pia utakuta tayari kuna mabadiliko ya bei. Ukifuatilia 'bajeti" tayari unaona kutakua na ongezeko la bei kwa bidhaa fulani.
na baadhi hawaongeza bei, bali wanapunguza quantity kimya kimya, kama rangi lita 20 basi, wanaondoa lita 2 kubakiza 18,
 
Hiki kitafanyika sana sasa hivi, nondo initially ilikuwa 40ft, leo ni 37ft..kimya kimya tu, same price ila dimensions zinapunguzwa. Hollow sections ndio usiseme ni majanga.
 
mkuu eneo gani upo umenunua kwa 20,000 maana me nimeuliza nimeambiwa 27,000 (nilimuuliza fundi maeneo ya chanika au alitaka kunipiga)
Nondo (12mm²) ilikua 20,000 kwa sasa imekua 21,000 kwa maeneo mengi ya dsm na pwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom