Bima ya afya ya NHIF ni useless kabisa...

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,424
15,977
Bila shaka mmeamka salama,

Yaani nina hasira sana leo.... Mimi ni mtumishi wa umma ambae kila mwezi nakatwa contribution kwa ajili ya mfuko wa bima ya afya. Sasa leo mwanangu anaumwa halafu naambiwa bima ya afya haiwezi kuaccomodate kipimo cha typhoid kweli?

Kipimo cha elf 20 bima imeshindwa kucover naambiwa niingie mfukoni? WTF is this? Kuna umuhimu gani wa kuwa na hii bima sasa? I am totally disappointed na nawaambia CCM kua nimechukizwa na hili.

cc Wizara ya Afya Tanzania
 
Bila shaka mmeamka salama,

Yaani nina hasira sana leo.... Mimi ni mtumishi wa umma ambae kila mwezi nakatwa contribution kwa ajili ya mfuko wa bima ya afya. Sasa leo mwanangu anaumwa halafu naambiwa bima ya afya haiwezi kuaccomodate kipimo cha typhoid kweli? Kipimo cha elf 20 bima imeshindwa kucover naambiwa niingie mfukoni? WTF is this? Kuna umuhimu gani wa kuwa na hii bima sasa? I am totally disappointed na nawaambia CCM kua nimechukizwa na hili.

cc Wizara ya Afya Tanzania
Kipimo cha typhoid kutopimika na bima ni kama sera ya wizara, naona kama hi cho kipima hawana wakika nacho, ila hawatowi kipimo mbadala ndo shida yao
 
Bima ya NSSF sijawahi pata shida ya kubagua kipimo…

Ila NHIF zamani huko wakati nasoma nilikuwa nayo, typhoid pia walikataa nikadhani ni sbb hosp ya private.

Polee.. sijui ni kwann wanaigomea typhoid.
 
Bila shaka mmeamka salama,

Yaani nina hasira sana leo.... Mimi ni mtumishi wa umma ambae kila mwezi nakatwa contribution kwa ajili ya mfuko wa bima ya afya. Sasa leo mwanangu anaumwa halafu naambiwa bima ya afya haiwezi kuaccomodate kipimo cha typhoid kweli? Kipimo cha elf 20 bima imeshindwa kucover naambiwa niingie mfukoni? WTF is this? Kuna umuhimu gani wa kuwa na hii bima sasa? I am totally disappointed na nawaambia CCM kua nimechukizwa na hili.

cc Wizara ya Afya Tanzania
Pole sana ndugu.
Kwaweli inasikitisha sana, inahuzunisha na inafedhehesha sana....

Ni matumini yangu kama Raia mwema, mamlaka husika imeliskia hili, imeliona na inalichukua na kwenda kuona namna ya kulifanyia wepesi, ili hatimae liweze kucover maeneo menngi muhimu ya huduma, ikiwa ni pamoja na hili ulilokukumba nalo wewe mchangiaji na mtumishi wa muhimu sana wa umma....

Nachelea kutoa pole za dhati kwa usumbufu uliokumbana nao...
 
Bila shaka mmeamka salama,

Yaani nina hasira sana leo.... Mimi ni mtumishi wa umma ambae kila mwezi nakatwa contribution kwa ajili ya mfuko wa bima ya afya. Sasa leo mwanangu anaumwa halafu naambiwa bima ya afya haiwezi kuaccomodate kipimo cha typhoid kweli? Kipimo cha elf 20 bima imeshindwa kucover naambiwa niingie mfukoni? WTF is this? Kuna umuhimu gani wa kuwa na hii bima sasa? I am totally disappointed na nawaambia CCM kua nimechukizwa na hili.

cc Wizara ya Afya Tanzania
Hii bima ni wizi mtupu, tulisema hivyo wakatushambulia, lakini ni bora ingefutwa na michango yake iingie kwenye akaunti ya individuals ili mtu anapohitaji kutibiwa fedha yake iwe deducted huko kwenye akaunti na salio lisome, tangu nianzu kuchangia miaka 15 iliyopita sijaona faida ya hiyo bima kwasababu unapougua au kuuguliwa masharti ya kuhudumiwa ni afadhali kwa mganga wa jadi
 
Tena, NHIF walikuwa wana charge hicho kipimo kwa 2,000/= (Elfu mbili tu).
 
Bima ya NSSF sijawahi pata shida ya kubagua kipimo…

Ila NHIF zamani huko wakati nasoma nilikuwa nayo, typhoid pia walikataa nikadhani ni sbb hosp ya private.

Polee.. sijui ni kwann wanaigomea typhoid.
Hivi kumbe nssf bima yao bora sana kuliko nhif?
 
Hii bima ni wizi mtupu, tulisema hivyo wakatushambulia, lakini ni bora ingefutwa na michango yake iingie kwenye akaunti ya individuals ili mtu anapohitaji kutibiwa fedha yake iwe deducted huko kwenye akaunti na salio lisome, tangu nianzu kuchangia miaka 15 iliyopita sijaona faida ya hiyo bima kwasababu unapougua au kuuguliwa masharti ya kuhudumiwa ni afadhali kwa mganga wa jadi
Hapana. Bima tunaihitaji saana. Waweke mambo sawa. Ugua uone.
 
Navyosikia ni kwamba Hospitali ambazo hazikubali kadi ya NHIF katika kupima Typhoid ni kwa sababu ya aina ya kipimo wanachotumia (Widal Test), inasemekana hakitoshi pekee kujulisha kama mtu ana Typhoid, huwa inatakiwa kifanyike kipimo kingine zaidi ili kuweza kuhakiki kweli kama Typhoid ipo.
 
Demi jibu fresh kabisa hili hapa
 
Demi jibu fresh kabisa hili hapa
Nimepata taarifa zaidi kwenye jarida la NHIF,kuna raia aliuliza akajibiwa hivi:

SmartSelect_20231118-070248_Drive.jpg
 
Back
Top Bottom