Search results

  1. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye kujua soko la sunstones? Nina kilo za kutosha
  2. K

    Naweza kupata simu gani kwa bajeti ya Tsh. 190,000/=

    Samsung A01 bado mpya nakupa kwa 220000
  3. K

    Rav4 Inapunguza Mwendo ghafla nikiachia Accelerator

    Kama inavuma angalia bearing mkuu inaweza kuwa ndio tatizo
  4. K

    Namba za Magari: Kwanini herufi “O” imerukwa!?

    wapi wewe mbona iko t333 ASS Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Uume wangu umeshindwa kusimama

    sasa bana itabidi tuu ujiweke kwenye listi ya mkulo mwenyewe! kuwa na ww ni kon××
  6. K

    Matokeo Kidato cha Sita: Uongozi wa shule ya Jangwani kubadilishwa na Walimu wa muda mrefu kuondolewa

    kwa mantiki hiyo ni sawa kabisa ila kwa jinsi nilivyoelewa mada ni issue tuu ya shule kuwa ya mwisho! ila unaweza kuwa wa mwisho kwa kuwa na matokeo mazuri! yasiyo kuwa ma mazero meeengi
  7. K

    Kwanini Obama hakuonana na Rais wa Tanzania?

    issue si kusafir mkuu jamaa kauliza kwa nn hakuonana na ***
  8. K

    Matokeo Kidato cha Sita: Uongozi wa shule ya Jangwani kubadilishwa na Walimu wa muda mrefu kuondolewa

    hivi sasa nani ndo anatakiwa awe wa mwisho? si lazima kwenye ushindani mmoja ashinde na mwingine ashindwe?
  9. K

    Zifahamu sheria zako za msingi ukikutana na Polisi; Fanya haya uwapo mikononi mwa Polisi

    Yote nimekubali kaka ila sasa kwa kweli polisi wetu akushike alafu ujifanye huongei nadhan kitakachokupata ni dhahir utaenda kuadhithia kwa mkeo na watoto
  10. K

    Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Umekosea wewe dada! Ungekata kabisa hiyo mb** uwe nayo ndani!
  11. K

    Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

    Sio yule mwimbaji kweli ndio amepanga hapo kweli???
  12. K

    TANZIA: Mama mzazi wa Mh. Mrisho Gambo amefariki dunia akiwa India kwa matibabu

    Hapo ndipo mimi pia nilimuona kama kachemka sana kuweka hilo neno muuza uji! Ila yote ya yote Mungu ni mwema na mwingi wa rehema ampokee mama huyu na amlaze anapostahili! Amen
  13. K

    Ni mnyama ama mdudu gani unayemuogopa kuliko wengine?

    MENDE ndio mdudu namuogopa kwenye hii dunia! Kuliko mdudu au kiumbe chochote!
  14. K

    Huyu dogo nahisi alitaka kwenda kufanya jambo baya

    Ina maana kumbe kila dakika mke anatakiwa afanywe??
Back
Top Bottom