Ni halali kushare nguo na mpenzi wako?

kibenten

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
499
507
JE NI SAHIHI WAJAMENI KUFANYA HIVI???

Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala.

Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu.

Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao.

Hali hii hupelekea wapenzi kuchangia vitu mbali mbali kama nyembe, mswaki,mkasi hata wengine hufikia hatua ya kuchangia pichuu! "ukivaa BOXER yangu na vaa KIBINI yako"

Hapa leo nitahitaji tuongelea kitu kimoja.

Mswaki,hivi ni sahihi wapenzi kuchangia mswaki?

Na kiafya iko vipi, hakuna magojwa yoyote yanayoweka kutokea kwa kuchangia mswaki?

Au matumaini yetu yako juu ya zile dawa za meno tupe Mtazamo wako.
 
Bikini au
 
Kwenye boxer , nguo ,hata miswaki ntavumilia shida ipo hapo kwa mwanaume kuvaa bikini na zile kamba kamba......mmh labda wanaume wa dar watatuwakilisha
 
Wangu mashati yangu,T-shirt zangu akiwa home ndo mitoko take,jez zangu za simba huwa ndo kama za kushindia akiwa home
 
Back
Top Bottom