Matokeo Kidato cha Sita: Uongozi wa shule ya Jangwani kubadilishwa na Walimu wa muda mrefu kuondolewa

kwa hiyo hao walimu wamepelekwa kwingine wakafelishe!!!
watoto wa siku hizi wote wanamfollow mange kimambi,kuna shule hapo
 
Hapo ndipo unajua chadema matapeli halafu wanaimba eti kipaumbele elimu,kama kipaumbele elimu professor baregu ndie angekuwa mwenyekiti wa chadema mbowe angekuwa mbeba mafaili yake.Halafu kama kipaumbele elimu mbowe Sasa hivi angekuwa kavalishwa shati Na kaptula ya shule akisoma a resit mitihani ya kidato cha sita
weka matokeo yake tuone hiyo zero
ya yule mmasai olesendeka yaliwekwa wazi
 
Matokeo ya kibaha hata sikuyaamini wengi viongozi watacheza na akili ya magufuli ya kutaka sifa wameshamjua bosi wao.
....una aminishwaje kwa mfano !?
Maana wewe si mwalimu wao, mkaguzi, msimamizi wala msahihishaji.
 
Wadau,

Habari nilizozipata na ambazo zimethibitishwa na mwalimu mmoja ni kwamba mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani amesisimamishwa kazi kutokana na kufanya vibaya kwa shule hiyo katika matokeo yaliyotangazwa hivi karibuni.

Aidha walimu wote waliokuwa wanafundisha shule ile wamehamishwa na kutawanywa katika shule mbalimbali jijini dar na wengine mikoani kabisa.

Haya yanatokea huku chama cha walimu na vyama vyote vya wafanyakazi humu nchini vikiwa kimya kabisa kama vile kafukuzwa paka tu.

Wakati sasa umefika kwa vyama vya wafanyakazi kuamka na kutetea wenzao wanaopata matatizo ya kuonewa kama haya.
Napongeza hatua zilizochukuliwa za kuwatimua kazi hao mchwa. Wanakula kodi za wananchi huku wanaaahujumu
 
Duuh! Pole sana zimfikie huyu mnyonge (mwalimu). Hivi alitakiwa awafanyie nini hawa wasichana wa Jangwani ili wafaulu?

Hawa wasichana ni wake wa makonda, bodaboda na ndiyo machangudoa wa kila baa na klabu.

Wana simu kali kuliko wazazi wao. Wanatembea na sketi fupi kuliko chupi zao. Wamefanya ngono mara nyingi kuliko wazazi wao.

Hawa wanawezaje kumsikiliza mwalimu wakasoma na kuelewa?
Hii Kali.
Kweli usemayo??
 
HAWA walimu ni halali kuhamishwa, itakuwaje SHULE iko jijini na vitendea kazi vipo inapitwa na SHULE iliyoko Tandahimba, KIBONDO na Nkasi kuliko na miundombinu ya elimu mibovu!!! Tuache kuwatetea walimu wazembe
 
Wadau,

Habari nilizozipata na ambazo zimethibitishwa na mwalimu mmoja ni kwamba mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani amesisimamishwa kazi kutokana na kufanya vibaya kwa shule hiyo katika matokeo yaliyotangazwa hivi karibuni.

Aidha walimu wote waliokuwa wanafundisha shule ile wamehamishwa na kutawanywa katika shule mbalimbali jijini dar na wengine mikoani kabisa.

Haya yanatokea huku chama cha walimu na vyama vyote vya wafanyakazi humu nchini vikiwa kimya kabisa kama vile kafukuzwa paka tu.

Wakati sasa umefika kwa vyama vya wafanyakazi kuamka na kutetea wenzao wanaopata matatizo ya kuonewa kama haya.
Yaani vyama hivyo ni vya kithenge kupindukia.. Mafao yetu yameminywa na hakuna hata kimoja kilichojaribu kutetea
 
HAWA walimu ni halali kuhamishwa, itakuwaje SHULE iko jijini na vitendea kazi vipo inapitwa na SHULE iliyoko Tandahimba, KIBONDO na Nkasi kuliko na miundombinu ya elimu mibovu!!! Tuache kuwatetea walimu wazembe
shule ya jangwani ina vitendea kazi gani?
 
hivi sasa nani ndo anatakiwa awe wa mwisho? si lazima kwenye ushindani mmoja ashinde na mwingine ashindwe?
Ni sahihi kabisa,lkn hoja ni uwe wa mwisho ktk kiwango gani?Ukiwa wa mwisho ktk matokeo mazur sio mbaya,shida ni kujaza mazero na four na unakuta shule inakila facilities.
 
Huyo mwalimu wamemuonea tu watoto wa skuizi whasp kwa sana, hasa vile vitoto vya jangwani vikishavaa zile jezi na viraba vyao vyeupe ndio huviambii kitu
Mdogo wangu kachaguliwa pale,namwamisha,maana hivi vitoto ukivikuta mtaani ni shida sana
 
Ni sahihi kabisa,lkn hoja ni uwe wa mwisho ktk kiwango gani?Ukiwa wa mwisho ktk matokeo mazur sio mbaya,shida ni kujaza mazero na four na unakuta shule inakila facilities.
kwa mantiki hiyo ni sawa kabisa ila kwa jinsi nilivyoelewa mada ni issue tuu ya shule kuwa ya mwisho! ila unaweza kuwa wa mwisho kwa kuwa na matokeo mazuri! yasiyo kuwa ma mazero meeengi
 
Duuh! Pole sana zimfikie huyu mnyonge (mwalimu). Hivi alitakiwa awafanyie nini hawa wasichana wa Jangwani ili wafaulu?

Hawa wasichana ni wake wa makonda, bodaboda na ndiyo machangudoa wa kila baa na klabu.

Wana simu kali kuliko wazazi wao. Wanatembea na sketi fupi kuliko chupi zao. Wamefanya ngono mara nyingi kuliko wazazi wao.

Hawa wanawezaje kumsikiliza mwalimu wakasoma na kuelewa?
Kwa maelezo haya mkuu wa shule anastahili kufukuzwa kazi.Huwa nakutana na hawa watoto wanavaa ovyo sana hadi najiuliza huko shuleni sikuizi hakuna waalimu wa nidham?Wanafunzi wakikosa nidham hawawez faulu na kama wakifeli wakwanza kuwajibishwa ni mkuu wa shule
 
Wadau,

Habari nilizozipata na ambazo zimethibitishwa na mwalimu mmoja ni kwamba mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jangwani amesisimamishwa kazi kutokana na kufanya vibaya kwa shule hiyo katika matokeo yaliyotangazwa hivi karibuni.

Aidha walimu wote waliokuwa wanafundisha shule ile wamehamishwa na kutawanywa katika shule mbalimbali jijini dar na wengine mikoani kabisa.

Haya yanatokea huku chama cha walimu na vyama vyote vya wafanyakazi humu nchini vikiwa kimya kabisa kama vile kafukuzwa paka tu.

Wakati sasa umefika kwa vyama vya wafanyakazi kuamka na kutetea wenzao wanaopata matatizo ya kuonewa kama haya.

Hiyo CWT ni kichaka cha wapiga deal na wezi wakubwa!! Wanaweza kumtetea mwalim wale??? Acha walim waisome, na bado, watarudishwa kufundisha chekechea!!
 
Duuh! Pole sana zimfikie huyu mnyonge (mwalimu). Hivi alitakiwa awafanyie nini hawa wasichana wa Jangwani ili wafaulu?

Hawa wasichana ni wake wa makonda, bodaboda na ndiyo machangudoa wa kila baa na klabu.

Wana simu kali kuliko wazazi wao. Wanatembea na sketi fupi kuliko chupi zao. Wamefanya ngono mara nyingi kuliko wazazi wao.

Hawa wanawezaje kumsikiliza mwalimu wakasoma na kuelewa?

Mungu na akusamehe!! Hujui sababu zinazochangia kushindwa kufaulu kwa watoto hawa
 
Back
Top Bottom