moah
Member
- Oct 2, 2018
- 58
- 59
Tafuta mwanamme alafu inama utasimama tuBoss
Tafuta mwanamme alafu inama utasimama tuBoss
Kumbe wewe ni james delicious umekuja kupromote biashara yako sawaBoss4
Ebu jaribu kumshirikisha mkeo hiki kisa nadhani atakushauri vizuri tuNaitwa James nimeoa na nina watoto wa4, pamoja na kua nimeoa ila nje nina mchepuko
Nilipokua na huu mchepuko kwa mara ya kwanza kufanya nae mapenzi nilipiga show nzuri tu bila tatizo lolote siku nyingine Nilipo taka kufanya nae mapenzi kwa mara ya pili uume wangu ulisimama kabla ya tendo baadae ukanywea na nikashindwa kusimamisha tena na kushindwa kufanya tendo nikajua ni hali tu ya kawaida na yeye akanielewa
Kwa mara ya tatu nimekutana nae tena nikafanikiwa kusimamisha uume na tu Kashiriki tendo vizuri tu
Kwa mara ya nne uume ulisimama ghafla ukanywea tena nikashindwa tena kufanya tendo tukaondoka lodge
Kwa mara ya tano pia Hali imejitokeza hivi hivi uume unasimama baadae unanywea kabla ya tendo.
NAHITAJI MSAADA WENU WAKUU JUU YA TATIZO HILI, HALI HII INANIFANYA NIOGOPE HATA KUMUOMBA TENA GAME. AMEKUA AKINIOMBA TUFANYE NAE NIMEKUA NAMKWEPA KWEPA SIJUI TATIZO NINI
Naomba mnisaidie. Uume wangu unashindwa kusimama. NISAIDIENI TAFADHALI