Huyu dogo nahisi alitaka kwenda kufanya jambo baya

Halafu wakati niko hapo hapo akaja tena kaka wa makamo hivi sio mzee wala kijana, akaulizia kuna VIAGRA? yule shoga yangu akamwambia zipo? bei gani akamwambia Tshs.1.500/= akamwambia, nipe tatu. Shoga yangu akamwambia hapana inatumika moja tu, (hapo mie nikaona sasa nitoke nje ili wawe huru kuongea sio vizuri mtu ambaye sihusiki kusikiliza ugonjwa wa mtu, japo niliokota mawili matatu na kuyakimbiza hapa JF).
Nikaunga dots, isije ikawa huyu baba anakwenda kukashughulikia hako katoto, maana lafudhi yake ilikuwa ya Kilimanjaro na nikakumbuka dogo kasema tajiri ni mtu wa Moshi na familia yake iko Moshi.
Yewoomi kibo cha ndesi.
 
Hebu ukipata taarifa yoyote kumuhusu unijuze huwenda tukafanikisha kumsaidia ....maana inauma sana hiyo kitu aisee na ninawachukia sana na wanaume wanaowaingilia wake zao nyuma maana huwa wakikosa ndio wanawala tope wadogo zetu...wamaume tunatakiwa tushiriki haswaaa kumaliza tatizo hili na si kulikuza
Mkuu hiyo kitu siku hizi ndo ina run dunia. Sijui ndo ile sodoma na kombora?
 
Halafu wakati niko hapo hapo akaja tena kaka wa makamo hivi sio mzee wala kijana, akaulizia kuna VIAGRA? yule shoga yangu akamwambia zipo? bei gani akamwambia Tshs.1.500/= akamwambia, nipe tatu. Shoga yangu akamwambia hapana inatumika moja tu, (hapo mie nikaona sasa nitoke nje ili wawe huru kuongea sio vizuri mtu ambaye sihusiki kusikiliza ugonjwa wa mtu, japo niliokota mawili matatu na kuyakimbiza hapa JF).
Nikaunga dots, isije ikawa huyu baba anakwenda kukashughulikia hako katoto, maana lafudhi yake ilikuwa ya Kilimanjaro na nikakumbuka dogo kasema tajiri ni mtu wa Moshi na familia yake iko Moshi.
Humo dukani ulikuja kwa ajili ya umbea tu na kutoa siri za wateja? Yanakuhusu nini hayo? Ndio maana watu wengi pharmacy zilizo na mijitu unakuta limekaa tu halinunui kitu huwa hatuingii. Mwambie huyo shoga yako kama anapenda soga na umbea umbea sehemu ya kazi afungue/atafute ajira saluni ya kike aachane na hiyo biashara inayogusa siri za watu.
 
Watoto wa kiume wako kwenye mazingira hatarishi zaidi ya kufanyiwa ukatili wa kingono. Ona sasa kijana anajiona tayari ni mke halali
 
Mbaya sana hii.
Watoto wetu wa kiume wako ktk mazingira hatarishi sana. Ila kwa nn watu hatuna huruma?
 
Ky ndo bei ivyo
Sijui wakitoa iyo 18,tube moja wanazibulia choo Mara ngapi mpaka kuisha
 
labda kwa mwanamke nitajaribu jaribu,lakini kwa dume huuuhh watu wana roho ngumu aiseeee....
 
Back
Top Bottom