Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Wewe ndiyo mjinga Mkuu! Hauwezi ukalipa chakufanya ungekaa nae umweleze nini unataka. Vinginevyo wewe ni MA la ya.
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Umeshatumia zile dawa zako?
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Njoo kwangu

*A good wife is from God a good husband is from Kigoma*
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Umekosea wewe dada! Ungekata kabisa hiyo mb** uwe nayo ndani!
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Naomba namba yako PM nikupe ushauri nasaha
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
sasa hata ukichepuka na hajui inasaidia nm?mfanye ajue kisha tuletee majibu?alafu kuchepuka uchepuke wewe,uje kutueingishia tusiokuwepo...kamrimgishie mmeo bhana
 
Jana nimechupuka ili kumkomoa mwanaume niliyenae kwasababu nilijinga halijui chochote,lipo lipo tu zoba halijua mwanamke anataka nini.

Nimechepuka na nitaendelea kuchepuka na kucheza na hisia zake mpaka akili itakapo mkaa sawaa,

Wanaume wengine ni wajinga sana
Miaka 2 sasa leta mrejesho mtto wa nje ya ndoa au mikosi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom