Search results

  1. K

    Hali ya Usafiri Kimara na Mbezi baada ya kufutwa kwa daladala za kwaiida

    Habari wanajukwaa. Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya usafiri kwa wakazi wa Kimara na Mbezi hasa kutokea katikati ya mji kama Kariakoo na Kivukoni. Watu wengi wamekuwa wakichangia aidha kwa kutojua hali halisi ama kwa mitazamo ya kisiasa. Hakika kama mdau wa usafiri kwa maeneo hayo kwa siku...
  2. K

    Ni dakika 55 zimepita sasa nikisubiri basi la Mwendo Kasi Kituoni Gerezani

    Nadhani kuna tatizo la kiutawala katika mradi huu wa mabasi. Siku za mwanzo mradi ulipozinduliwa kulikuwa na mabasi mengi ya kutosha. Kadiri siku zinavyoenda ndiyo yanazidi kupungua. Hii inadhihirika kwa mabasi hayo kujaza watu kupita kiasi hasa nyakati za asubuhi na jioni. Kuna baadhi ya vituo...
  3. K

    Nahoji kwanini gharama za hoteli ambazo mabasi ya mikoni huingia ni kubwa sana?

    Ni kweli kabisa si haki kama mtoa hoja anavyodai. Nimejaribu kuchunguza kwa kuongea na baadhi ya makondakta. Nilichogundua ni kwamba mbali ya wafanyakazi wa hayo mabasi kula bure dereva pia huwa anapewa fedha. Ndiyo maana wanabadilisha hoteli kulingana na kiwango anacholipwa dereva na hoteli...
  4. K

    Mazingaombwe matokeo Darasa la Saba

    Mimi hayo mazingaombwe siyaoni hapa. Avarage Grade inapatikana kwa kujumlisha alama alizopata mwanafunzi ktk masomo yote na kugawanywa kwa idadi ya masomo.Mf. tufanye C inaanzia 40 mpaka 50, mwanafunzi X anaweza kuwa na C ya alama 40 na mwingine Y C ya 50. Hivyo hivyo X anaweza kuwa na D ya 30...
  5. K

    Magufuli anza na TANESCO

    Huku wakijua kabisa leo watanzania wengi kupitia runinga zao wanafuatilia tukio la uapishwaji wako TANESCO wamezima umeme baadhi ya maeneo hapa Dsm. Sasa umeshaingia ofisini anza na shirika hili lenye uozo.
  6. K

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Hii sasa inatisha, pumzika kwa amani mheshimiwa umetimiza ipasavyo wajibu wako hapa duniani.
  7. K

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Umeme umekata ilikuwa bila bila kipindi cha pili dk ya 70
  8. K

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Mi naangalia ndondo cup Kauzu FC Vs Faru Jeuri kupitia Azam 2
  9. K

    Azam TV acheni ubabaishaji

    Nami nimeshangazwa na taarifa ile. Kuanzia saa moja na nusu Dr. alikuwa Star TV na Yusuph Kamote.
  10. K

    Waziri simbachawene ulichokiona ilala na temeke kuhusu tanesco ndiyo hali ilivyo nchi nzima

    Habari wana JF, Leo kumesikika habari kwamba waziri wa nishati na madini mh. Simbachawene ametoa agizo la kuchukuliwa hatua kali kwa wakuu wa idara ya ufundi wa Ilala na Temeke DSM. Mheshimiwa waziri, hali uliyokumbana nayo huko ndivyo ilivyo kwa nchi nzima. Kuhusu kitengo cha dharura nadhani...
  11. K

    Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    'Kufundishwa dini kinyume cha sheria!!!'. Hapa ina maanisha kufundisha dini ni kosa? Mwenye ufahamu atuelimishe.
  12. K

    Riwaya - Balaa

    Ndiyo zake huyu.
  13. K

    Riwaya - Balaa

    Naanza kona dalili za kutuambia umepata mfadhili amekuambia utoe kitabu. Kama hamna uhakika wa kumaliza kusimulia hadithi zenu kwa nini mnaziweka hapa? Mnakera sana.
  14. K

    TBC inafanya hujuma kwa upinzani bungeni!

    Ile hali iliyojitokeza asubuhi inakera sana. Kwa muda kama nusu saa tunaona picha bila sauti halafu hamna cha apology wala nini. Hivi kweli TV ya Taifa inashindwa na tv za mitaani. Hii ni aibu iliyoje? Unaweza kujiuliza hivi tatizo nini tangu atoke Tido Mhando kama mkurugenzi? Ni kukosa ubunifu...
  15. K

    CCM inaandikisha familia maskini mitaani, Lengo ni nini?

    Jana nilinasa taarifa toka kwa kiongozi mmoja wa CCM hapa mtaani. Katika maongezi amenieleza kuwa kuanzia leo tarehe 12, Januari, 2015 wataanza kuandikisha familia maskini sana ili waweze kusaidiwa. Chanzo cha maongezi ni baada ya kumsikia akimpa maelekezo dada atakayehusika kuandikisha. Malipo...
  16. K

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kichwa cha habari 'Baraza Kuu la Waislamu' latoa tamko. Habari yenyewe 'Jumiya na Taasisi za Kiislamu (T)'. Kwa uelewa wangu hivi ni vyombo viwili tofauti. Kisheria Baraza Kuu la Waislam Tanzania BAKWATA ndicho chombo kinachotambulika kisheria na chenye mamlaka ya kuwakilisha waislam (kutokana...
  17. K

    Je! Ni halali polisi kuwanyima panyaroad dhamana na kukataza wazazi kuwaona?

    Ni kweli mengi yamesemwa lakini sikubaliani na maamuzi haya. Mi nadhani hawa watoto bado ni watuhumiwa tu hivyo hawasitahili kunyimwa dhamana na kutoonana na ndugu zao. Wakati mwingine viongozi wetu hufikia uamuzi wa pupa ili waonekane ni watendaji wazuri. Hii siyo mara ya kwanza kwa kundi hili...
  18. K

    Matokeo haya ya serikali za mitaa yananikumbusha 'ukila na kipofu.......'

    Salaam wadau wa jukwaa hili. Kuna taarifa toka mikoa mbalimbali kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa yakionyesha chama kikongwe cha mapinduzi kushindwa kutetea ushindi wake wa 2009. Hii inanikumbusha methali ya hapo juu kuwa ukila na kipofu usimguse mkono. Kipofu sasa kaguswa mkono na...
  19. K

    Hali ilivyo sasa mpaka sasa !

    Inatia moyo kuwa wananchi wameanza kupata elimu ya uraia namna ya kutumia haki yao ya kikatiba. Hata hivyo upinzani haupaswi kubweteka bali kuongeza uelewa wa wananchi namna ya kutumia haki hiyo kwa uhuru. Kwa chama tawala, hii ni kengele ya hatari imelia kuelekea 2015.
  20. K

    Walimu kuandamana nchi nzima

    Hakuna lolote mnawafanya walimu kama hawajielewi kwa sababu mnawapeleka mnavyotaka. Mara mishahara isipopanda mtaandamana, wakiandamana dakika za mwisho mnatangaza kusitisha mgomo. Mkoba tumekuchoka sasa na ngonjera zako. Tumeshakujua wewe uko upande gani.
Back
Top Bottom