Tmk wanaperfom ni balaa. Hawa watu wamesombwa na magari? Waliopo moro picha please!
Najua hawajasombwa hawa, moro ni ngome ya ccm....big up!
mgombea wa CCM ni Gadafi?Anaendelea na wimbo wake wa mabadiliko ya Libya.
Viwanja vingerudishwa kwa wananchi hvo baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza.Unamilikiwa na CCM
mgombea wa CCM ni Gadafi?
Mi naangalia ndondo cup Kauzu FC Vs Faru Jeuri kupitia Azam 2
MAGUFULI; Anawaambia namna maisha yalivyokuwa kwa watu wa LIBYA wakati wa utawala wa Gaddaf na jinsi walivyoshawishika kumuua gadaf na baadae sasa wanajuta..nchi imeharibika na watu wa libya wanaona bora kwenda kufa katika bahari ya medditeranian wakienda Ulaya kuliko kuendelea kuishi LIBYA kutokana na ugumu wa maisha baada ya kufanya mabadiliko yasiyozingatia misingi ya amani na utulivu.
Jamaa anatia huruma jamani,anaokoteza okoteza
Moro ilikuwa mkoa wa viwanda,nani kavizika haah haah noma sana