Nilitak nipuuzie post yako ila nikaona nikupe onyo kidogo ... hii sio njia nzuri ya kwenda ikulu ... ukawa tutashinda kwa kushindana. wewe utakuwa ni ccm umejivika gwanda kinafiki.Ukawa Sasa Njia Yetu Ni Nyeupee! Mwendo Wa Kupita Bila Kupingwa!!! Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Na Pia Tunataraji Kuitwaa Ikulu Oct 25 Na Mh Ngoyai.
January kwa kweli nina hofu na uwezo wake wa akili,ni bora angekaa kimya kuliko kutweet habari za uongo,yaani ujinga sana tena sanaJanuary kafanya ujinga wa kutisha. Tulithamini sana mchango wa Mh Deo kwa Taifa hili na hivyo tulihitaji kujua hali ya usalama wake. Kitoto hiki cha mzee Makamba kikawa kinafanya mzaha na upuzi ka huo bila kujali kabisa Mh Filikunjonbe hakuwa mpuuzi ka yeye au watu wenye tabia kama zake. Inasikitisha sana.