Azam TV acheni ubabaishaji

laprovidenza

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
330
172
Nashindwa kuwaelewa Azam TV, katika vipindi vya leo ilitarajiwa kuwepo na kipindi cha Funguka ambapo Tido angefanya mahojiano Dr Slaa. Lakini cha ajabu tangu saa tatu kamili zimewekwa katuni tu! Mbaya zaidi mtangazaji wa kipindi kilichopita ametuweka standby kuwa tusubiri kipindi cha funguka...Huu ni ubabaishaji wa dhahiri. kama kuna dharura mnatoa taarifa ya kuomba radhi. Hii ni aibu kwa chombo kikubwa kama hiki. Kuweni makini
 
Ni kweli kabisa ulichosema wamekosea sana kutoeleza kwanini funguka haipo
 
Wameniudhi sana.....yaani hawatoi taarifa yoyote....ni makatuni tu yanaendelea.
 
ww unadhani kati tido na dr mihogo nani kakimbia?

Keshajua kuwa kajivua nguo, yaani Dr. Mihogo keshapotea kabisa watu hawamtaki hata kumsikia. Na yule delila anaweza kumtema muda si mrefu tehe tehe.
 
Tatizo Dr Mihogo ni muhuni , amerekodi kipindi halafu anataka Tido aseme ni live.
Wapi na wapi hiyo?
 
Nashindwa kuwaelewa Azam TV, katika vipindi vya leo ilitarajiwa kuwepo na kipindi cha Funguka ambapo Tido angefanya mahojiano Dr Slaa. Lakini cha ajabu tangu saa tatu kamili zimewekwa katuni tu! Mbaya zaidi mtangazaji wa kipindi kilichopita ametuweka standby kuwa tusubiri kipindi cha funguka...Huu ni ubabaishaji wa dhahiri. kama kuna dharura mnatoa taarifa ya kuomba radhi. Hii ni aibu kwa chombo kikubwa kama hiki. Kuweni makini

ahahaha
 
Tv za Tanzania ni ndoto kuzingatia muda. Ni nadra kuomba samahani.
Wanaelewa watanzania
Wanaelewa watazamaji ni malofa tu.
 
Dk Mihogo amekacha interview na Azam kwa makusudi kabisa...uzurj wa Tido Mhando huwa di mwandishi cheap km aliowazoea Dk Slaa!

Pia kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Dk Slaa anajuta kwa yale aliropoka na anatarajia kufanya kikao na CHADEMA ili kuweka mambo sawa, ansjuta sana kwa yaliyotokea!
 
Nami nimeshangazwa na taarifa ile. Kuanzia saa moja na nusu Dr. alikuwa Star TV na Yusuph Kamote.
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.Ccm Slaa anaimaliza, mtakuja kulaumiana kwa sababu ya Huyu SLAA.
 
Back
Top Bottom