Search results

  1. Zed

    Tupigie Kura Vivutio vyetu vya Kitalii

    https://www.worldtravelawards.com/nominees/2023/africa https://www.worldtravelawards.com/award-africas-leading-tourist-attraction-2023 Vilipo katika kinyanganyiro ni: Mlima Kilimanjaro Mbuga ya Ngorongoro Crater na Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere - Dar es Salaam
  2. Zed

    Ni nini upya wa Katiba Mpya?

    Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa dhuluma, itanisadia kutumia rasilimali zangu vema? itathamini kura yangu na kuyafaa maisha yangu...
  3. Zed

    Barbara anaiachaje Simba? ( Exit Plan)

    Tangu Barbara atoe barua ya kujiuzulu hakuna habari yoyote yakuonyesha anaichaje simba ( exit plan) Usajili unangojea dakika za mwisho halafu wachezaji hawajengi muunganiko. Ni vema mtu anapoondoka aachie ngazi watu wafanye kazi.
  4. Zed

    Advertisement for vacant positions at Marian University College

    Marian University College (A Constituent College of St. Augustine University of Tanzania) ADVERTISEMENT FOR VACANT POSITIONS Marian University College (MARUCO) invites qualified Tanzanians to apply for the following vacant academic positions available at various Faculties. FACULTY...
  5. Zed

    Nape, charity begins at home!

    Kama Kweli CCM imechukizwa na ufisadi kama Nape alivyokuwa akitaka taasisi zilizopewa mapendekezo ya bunge ziwachukulie hatua mafisadi wa Escrow, CCM ianze kwa kuwanyang'anya kadi mafisadi wote Tibaijuka, Chenge nk kuonyesha kuchukizwa nao ili wapoteze wadhifa wao wote katika bunge na...
  6. Zed

    Hii nayo imekaaje?

  7. Zed

    Welcome Home Broda... Who's next Bashir or...

    Charles Taylor rais wazamani wa Liberia akimkaribisha Gbagbo rais alitolewa madarakani wa Ivory Coast lupango ya ICC huko Hague. Duh angalau sasa ICC inawaogopesha maanake huko ndio wanapata pensheni yao... Tuangalie katiba mpya Tanzania isipeleke mwingine huku
  8. Zed

    Mnyika ni Kiongozi wa Class ya Kipekee Msikieni kwe Youtube

    Msikie Mh. Mnyika akipanga hoja kuzungumzia ufisadi wa Songas na kumtaka Ngeleja ajiuzulu: inaanzia youtube 1 na kumalizia youtube 2 mengineyo unaweza kuacha: Kwa kweli Mnyika ni sawa na wabunge 100 wa Magamba!
  9. Zed

    Jenerali Ulimwengu: This laughable Bill will only deliver us a stillborn Katiba; let’s start again..

    This laughable Bill will only deliver us a stillborn Katiba; let’s start again, shall we? There has been more posturing and grandstanding than explanation and clarification and where we might have expected light, all we’ve got is heat. It looks to me like we are about to squander another...
  10. Zed

    Mambo ya barabara za kulipia na za chee!

    Du! Barabara ya kushoto ya kulipia ya kulia ya chee!
  11. Zed

    Baada ya Rombo kupandisha bendera ya Kenya Sasa Mbeya wajitangazia nchi na Rais wao!

    Mbeya wajitangaza nchi na Sugu ndio rais wao!
  12. Zed

    Rombo wapandisha bendera ya Kenya?

    Baada ya kunyanyaswa na vizuizi vya polisi vilivyomo mji mdogo wa Himo, viliosababsha upungufu mkubwa wa sukari na bidhaa nyingine za chakula, kiasa cha Rombo jimbo linaloongozwa na CDM, na linalopakana na nchi ya Kenya, kujisiakia wageni nchini mwao Tanzania, wamechukizwa na kitendo cha...
  13. Zed

    Thinking wild: Tume ya Uchaguzi NEC - iratibu kuupigia kura Kilimanjaro kwenye Maajabu 7 ya Dunia

    Kwa umahiri wa NEC kuchakachua kura napendekeza, tume hii ikiongozwa na Makame Lewis na Kiravu iongoze kura za kuufanya mlima kili moja ya maajabu. Nadhali uzoefu wao wakuchakachua utatushindisha tu!
  14. Zed

    Mambo ya Cameron na Umaskini wa Africa!

  15. Zed

    Mambo ya Cameron na Umaskini!

  16. Zed

    Tuhoji Gharama za Safari za Nje za Viongozi wetu!

    Uwingi viongozi wa juu na safari zao za nje ya nchi ni mzigo kwetu watanzania. Ni hivi majuzi tu waziri mkuu amerejea kutoka Brazili na Marekani, leo hii Makamu wapili rais wa Zanzibar yuko Uchina, Makamu wa rais yuko Uswiss, baada kurejea kutoka Msumbiji na rais mwenyewe ameelekea Australia...
  17. Zed

    Nini tafsiri yako kwa kauli hii ?

    Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Lowassa aliwahi kutoa kauli hii na ameirudia tena kama onyo kwa watanzania na wanahabari. Je nini tafsiri yako mtanzania? "Hatukukutana na Rais Kikwete barabarani, narudia tena, hatukutana na rais Kikwete barabarani!" alisema Edward N. Lowassa
  18. Zed

    Msimamo wa Ligi ya Vodacom Premium Tanzania

    Bofya Hapo Chini kufatilia msimamo wa Ligi ya Vodaphone Tanzania: FIFA.com - Tanzania: - League table
  19. Zed

    Hatua ya Pili ya Kupinga Chenji ya Ununuzi wa Radar isipitie Serikalini!

    Wana JF, hatua ya kwanza ya kuandika kwa BAE kupinga fedhaa hizi wasipewe serikali imekua ya mafanikio makubwa, hata wabunge walionde huko wamekiri (soma daily news online): Daily News | Chenge cleared of radar scandal "Ms Kairuki expressed concern over reports that some Tanzanians have been...
  20. Zed

    Kampeni Kupinga 'chenji' ya fedha za Radar wasipewe tena Serikali

    WanaJF tuache kulalamika tuchukue hatua! Fedha za radar serikali inazotaka irudishiwe ni dhuluma tupu! Tuandike emails, sms , piga simu hata kwa kiswahili kupinga serikali isipewe fedha ilizoitoa kwa ufisadi. Hapa nimeweka anwani za BAE wanashughulikia namna fedha hizo zinaweza kurejeshwa kwa...
Back
Top Bottom