Mnyika ni Kiongozi wa Class ya Kipekee Msikieni kwe Youtube

Zed

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
434
252
Msikie Mh. Mnyika akipanga hoja kuzungumzia ufisadi wa Songas na kumtaka Ngeleja ajiuzulu: inaanzia youtube 1 na kumalizia youtube 2 mengineyo unaweza kuacha:
Kwa kweli Mnyika ni sawa na wabunge 100 wa Magamba!

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Zed
Ukimsikiliza Mnyika unajua anachukia ufisadi na hata ukimwangalia anavyolitetea taifa kwa uchungu mkubwa unajua kweli ana dhamira safi inayochukia ufisadi. Viongozi wa aina hii ndio tunawataka kuliongoza taifa kwa sasa!
 
Msikie Mh. Mnyika akipanga hoja kuzungumzia ufisadi wa Songas na kumtaka Ngeleja ajiuzulu: inaanzia youtube 1 na kumalizia youtube 2 mengineyo unaweza kuacha:
Kwa kweli Mnyika ni sawa na wabunge 100 wa Magamba!

umerogwaa nini! Hujuwi kuwa thamani ya mbunge mmoja wa ccm ni sawa na secretariet nzima ya Cdm?
 
Last edited by a moderator:
So why does Mbowe remain reluctant about handing over chairmanship to Mnyika? I guess the upcoming politician would have introduced more unconventional ideas had Chadema accorded him more powers.
 
umerogwaa nini! Hujuwi kuwa thamani ya mbunge mmoja wa ccm ni sawa na secretariet nzima ya Cdm?

We msikilize Mnyika halafu usikie wachangiaje waliofuata, Eng. Stella Manyanya mwenyewe anamfagilia akisema ametoa hoja nzito na pia uwatizame jinsi wabunge wa CCM walivyomsikiliza Mnyika akimwaga hoja zinazopewa uzito na data. Parage c Tobrwa hapa hatubishani bila hoja na ushahidi. CDM ina wabunge wachche mjengoni lakini muziki wake...! Wazungu wanasema CDM imepandisha choo cha kukojoa basi lazima CCM wasimamie wakichuchumia kwa vidole!
 
Jamaa ni kweli yuko vizuri na kubwa zaidi huwa hakurupuki kujibu hoja na huwa hajibu hoja kwa jazba.. Kwa hilo nampa heshima..
 
So why does Mbowe remain reluctant about handing over chairmanship to Mnyika? I guess the upcoming politician would have introduced more unconventional ideas had Chadema accorded him more powers.

Mwita25 kweli wewe kama karata ni garasa! Where and when did you hear that Hon. Mbowe is reluctant to hand over chairmaship to Mnyika? CDM si kama CCM ambako viongozi wanacaguliwa na mapacha watatu, kule kuna demokrasia zaidi. Ebu ni PM nikusemeshe kwa kikurya.
 
umerogwaa nini! Hujuwi kuwa thamani ya mbunge mmoja wa ccm ni sawa na secretariet nzima ya Cdm?

Ukisikia mtu mwenye akili za utumbo wa panya ndo category hiyo, mbunge wa chama cha magamba hana thamani hata ya kuzidi mbuzi wa pale Vingunguti.
 
huyu Mmnyinka namwombea maisha marefu na natatmani siku moja awe Raisi wetu kwa sababu zifuatazo;

1/ Anao uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.
2/ Ni mwadilifu
3/ Ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.
4/ Anachukia ufisadi

Indeed! the guy is good! Big-up JJM and God Bless you!!
 
oya Zed achana kabisa na hilo jamaa mnyika iq yake ni ndefu mno,yaani ni akina lusinde 1,000,000.I know watu wa magamba wanamhate sana but the man is so intellectual.HEKO JJ.MUNYIKA
 
huyu Mmnyinka namwombea maisha marefu na natatmani siku moja awe Raisi wetu kwa sababu zifuatazo;

1/ Anao uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.
2/ Ni mwadilifu
3/ Ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.
4/ Anachukia ufisadi

Rais wa kijiji gani?
 
Ukisikia mtu mwenye akili za utumbo wa panya ndo category hiyo, mbunge wa chama cha magamba hana thamani hata ya kuzidi mbuzi wa pale Vingunguti.

Kwa reasoning hii basi akili zako wewe ni sawa na kwato za huyo mbuzi.
 
Mwita25 kweli wewe kama karata ni garasa! Where and when did you hear that Hon. Mbowe is reluctant to hand over chairmaship to Mnyika? CDM si kama CCM ambako viongozi wanacaguliwa na mapacha watatu, kule kuna demokrasia zaidi. Ebu ni PM nikusemeshe kwa kikurya.

hakumbuki enzi za kumbania Zito uenyekiti. Mbowe hayupo tayari kuachia madaraka.
 
Back
Top Bottom