Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
JINSI YA KUPIKA KUKU WA KUPAKA Kuku katika mchuzi wa nazi) viungo kata kuku katika vipande 8 1 kijiko vitunguu Kijiko 1 cha tangawizi pilipili hoho 2 pilipili 2 Juisi ya limau vijiko 4 1/2...
0 Reactions
0 Replies
21K Views
  • Redirect
Mahitaji: 40gram zabibu kavu 240garm maziwa ya maji 240garm siagi (butter) ½ chumvi kijiko kidogo cha chai 240gram sukari 240gram korosho au walnuts au karanga chochote ulichonacho 500gram unga...
0 Reactions
Replies
Views
JINSI YAKUPIKA KEKI YA ZABIBU KAVU Tengeneza keki ya zabibu kavu kisha ongezea ladha mbali mbali kutokana na upendavyo fata maelekezo hapo chini Mahitaji: = 240gram zabibu kavu =...
0 Reactions
17 Replies
21K Views
Swahili Fish Curry (Mchuzi Wa Samaki)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pilau Ya Kuku Vipimo Mchele wa basmati........................ 3 Vikombe Kuku.............................................½ Viazi.............................................. 4...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakiitwa wanaojua kukarangiza lazima na mie niende. Kwa mambo ya jikoni nimebarikiwa. ukitaka vya kihindi utadhani nimezaliwa bombay,ukija vya kichina na Thailand achilia mbali vya Mexico na vya...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Fish green curry (ingredients) 1. samaki mzima { kwangua na kata nyama ya juu halafu katakata viapande vidogo hakikisha hakuna miba} 2. vijiko viwili vya green curry paste (table spoon) 3.mafuta...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Mapishi ya kuchemsha doufu kwa mvuke ndani ya majani ya yungiyungi Mahitaji Doufu gramu 300, nyama ya kuku gramu 30, uyoga gramu 10, uyoga mweusi gramu 10, yai moja, vipande vya paja la ash...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
......Leo na mie nawaletea kifungua kinywa, ni rahisi sana kuandaa na vile vile ni healthy. Unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo, -mayai 2 -vijiko 2 vya maziwa ambayo ni fat free. -vijiko 2 vya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mapishi ya Mixed vegetable fried rice Mahitaji Wali uliopikwa (cooked rice) kiasi Hoho la kijani (green pepper) 1/2 Hoho jekundu (red pepper) 1/2 Carrot 1 Kitunguu kikubwa (onion) 1 Njegere...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni kwa Bibi yangu Singida>. Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu Mahitaji Bamia (okra) 20 Nyanya chungu (garden eggs) 5 Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chai Nyanya...
2 Reactions
0 Replies
8K Views
Mapishi ya kuku aliyekaangwa Mahitaji kuku mmoja, chumvi gramu 3, sukari gramu 15, mchuzi wa sosi gramu 10, mvinyo wa kupikia gramu 15, pilipili manga gramu 2, vitunguu maji gramu 15...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Haya na Mimi nawaleteeni vyakula na Mapishi ya Kichina Enhoo Enho Mapishi ya nyama slesi ya nyama ya ng'ombe na kiazi Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 200, kiazi kimoja?pilipili boga moja na...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Mchemsho wa Ndizi Kwa samaki Ndizi mshare au ndizi kimalindi au za mbea tano(5) inategemea na familia yako samaki nusu kilo wabichi sato itakuwa nzuri zaidi nyanya moja kitunguu kimoja karori...
0 Reactions
1 Replies
16K Views
Apple Crisp 2 cups blanched almond flour ½ teaspoon celtic sea salt 1 teaspoon cinnamon ½ teaspoon nutmeg ⅓ cup grapeseed oil ¼ cup agave nectar 1 tablespoon vanilla extract 5...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Importance of Green Salad in Your Diet Green salads are an excellent source of vitamins, minerals and fiber, but people do not generally include salads in their diet. This is because they do...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani mi na mme wangu tunapenda sana kupika, na kila weekend hupenda kujaribu recipe mpya. last sunday tulipika eggplant parmersan. ni chakula kizuri sana na kina virutubisho vya kutosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fruit Mix/Matunda Mix Hii ni aina ya uandaaji wa matunda ambayo hutengenezwa kwa kuchanganywa ukizingaitia aina ya matunda…. Waweza Manipulate vovote mradi ladha usiharibu – kutegemea na kuoana...
6 Reactions
0 Replies
3K Views
Peanut Brownies.. ( Ni kama biscuti za karanga ) ingredients 100 g Butter 150 g cater sugar 1 egg 200 g flower 10 g cocoa 2 g Baking Powder 100 g roasted peanuts Changanya butter, sukari...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkate Wa Sinia - Mkate Wa Kumimina Aina Ya Kwanza Vipimo 1 Kikombe Cha Mchele 1 Kikombe Cha Nazi Ya Unga 1 Kikombe Cha Sukari Kupungua Kidogo 1 Kikombe Cha Maji Au Maziwa Vuguvugu 1 Kijiko Cha...
2 Reactions
0 Replies
9K Views
Back
Top Bottom