Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Neno graduate linatumikaje ? Aliyemaliza la saba, form four,form six, certificates courses, diplomas, degrees, masters, phd. Wote wanaweza tumia neno graduate ?? Naombeni ufafanuzi wenu ma Great...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu...msaada tu wakujua nini maana ya KIWAMBOUTE/mucous membranes
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imezoeleka na kukomaa kwa kila kitu au malalamiko ya wananchi wanapo lalamika kuhusu utendaji wa viongozi au ukosefu wa kitu fulani muhimu kwa jamii, basi kauli rahisi kutoka Serikalini huwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba msaada wenu wajuzi wa lugha juu ya utafauti wa aina hizo mbili za sentensi. shukran
0 Reactions
7 Replies
41K Views
RIWAYA: KOSA MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA SIMU:+255713776843 +255762219759 WHATSAPP:+255713776843 SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA AFYA NJEMA...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Sasa nimeamini ni kweli mtoto halali na fedha. Hulala na Nepi ya Mikojo. Kumbe maana ya Methali hii, unaporudi nyumbani kabla ya kulala jiulize umetengeneza fedha kiasi gani, na cashi kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ukipenda.... Nilitengeneza a table of all Present and Past Tenses, positive, negative and question forms, together with a short explanation as to how to use each tense (yaani, in what...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
KIjiji hiKI KIKIKI KInga kijiji kile kitapata KIvuli
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba wadau kwa anaeweza kunifafanulia 'TUNGO NENO' katika: =maana =aina =muundo
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Hivi wapendwa hili neno lina maana gani?. naona baadhi ya member wa humu jf hupenda kulitumia mara kadhaa.(adiosamigo) napenda mwenyekujua maana yake atafsiri kwa lugha ya kiswahili ili niweze...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
haya maneno yana maana moja mwasisi , mbunifu,na mgunduzi NA je kama hayana maana moja kila jambo hapo linamana gani? naomba msaada wenu watalam wa kiswahili
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kitambo kabla cjawa baba nilikuwa najua mtu ukimwita jasusi ni jambazi lililoshindikana, baadae tena naanza kujifunza kingereza neno jesus nilikuwa natamka jasusi hapo ndo nilizidi kupagawa lakini...
1 Reactions
18 Replies
14K Views
Eti KUNYA kwa kingereza wanasemaje?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman naomben msaada yoyote anaejua hii sentens kwa kingreza anambie "BABA MI NI MTOTO WA NGAP?"
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa sentensi hii in english .ELIMU HAINA MWISHO.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau naomba maana na asili ya hili neno. Toka nakua ninasikia flani kabebwa na polisi kutumia Tanganyika jeki. Hivi hii Tanganyika Jeki ni nini na ina uhusiano gani na watu wanavyokamatwa, na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maneno ya Kiswahili, "roho" na "moyo" hutamkwa mara kwa mara katika maisha ya Mswahili. Baadhi ya utumizi wa maneno haya ni "ana roho ya paka", "ana roho ngumu" "ana roho ya korosho" n.k...
0 Reactions
12 Replies
33K Views
HELLO WANAJF MIMI NI MBUNIFU TOVUTI WA KUJITEGEMEA NIMEBUNI TOVUTI YA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA NJIA YA MASAFA HII N KW YEYOTE MWENYE WAZO LA KUANZISHA SHULE YA KISWAHILI ITAKAYOCHUKUA...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ningechelewa ningekuta keshaliwa. ebu tuijadili sentesi
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom