Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wana Jambo Forum; Salama nawatakia, wenzangu wa humu ndani Nadhani mtapokea, salamu zenye amani Choveki naulizia, wenzangu mu hali gani? Amani nawatakia, wenzangu jambo foramu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania tuna lipi la kujivunia kama hii report ya Human Development Index inavyyonyesha tupo kuleeeeeeeeeee mwisho kabisa hata Uganda na Vita, Njaa, Umasikini, n. k bado wametupita shame, shame...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
He tried hard enough To make me grab my A4 wood And for a moment, gazed at the blank spaces Thought and scrutinized If it was worth it, or otherwise For all I really wanted An end to the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I know! I know you are mad and upset That I didn’t leave you alone and yet I kept pushing and nagging, and asking About it! I know you wanted me to stop And leave you alone and be gone! But...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baraza la Kiswahili lashutumu wabunge kwa uchafuzi wa Kiswahili Na Salim Said, MUM MWENYEKITI wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Suleiman Hega amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimepata habari hii kutoka kwenye mtandao wa kiswahili jamani someni habari hii imetulia pia naomba maoni yenu. Kiswahili as a National and International Language By M.M. Mulokozi Institute...
0 Reactions
0 Replies
22K Views
Moyo ulianza kunienda kwa kasi, viganja vilianza kulowa jasho, na koo lilinikauka nilipokuwa nikikata kona kuingia katika eneo la Hospitali ya Bombo, mjini Tanga. Moyo wangu ulikuwa umegubikwa na...
0 Reactions
9 Replies
114K Views
Na. M. M. Mwanakijiji John Maduhu alimshika mkono mchumba wake Alice Rutashobya (alijulikana zaidi kwa jina la Koku) wakitoka nje ya ofisi za Paroko wa kanisa la Mt. Francis Ksaveri la Nyakahoja...
0 Reactions
9 Replies
17K Views
Hapa naendelea kupata wasiwasi wa upotoshwaji wa lugha yetu tukuka Story Created: Oct 30, 2007 Story Updated: Oct 31, 2007 Project Ujima Shelley Walcott 'Ujima' is a Swahili word...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Speed ya ukuaji wa kiswahili mbele ya mataifa inatisha na nafikiri tuanze harakati za hakia miliki maana kitakuja kubinafsishwa tusipoamka mapema. Arpan Sharma speaks French with flair...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juu ya mataaluma chombo kimeshika mwendo kasi Kama Nyoka kwenye majani chateleza kwa kasi Ndanimwe kimeshiba watu walioketi kwa nafasi Nipo ndani naangaza katika madirisha ya tumbo lake Miti...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakati napitapita nimeona habari hii nikahisi tunaweza kunufaika nao kwa kujua maendeleo ya lugha yetu ughaibuni.Fatilia hapa chini Doctors lost in translation use assistance. By Mary Pickels...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimechoka taabani, niko hoi sijiwezi Bado nipo safarini, mwisho sijaumaizi Ninatafuta upendo. Ninausaka upendo,kwema kule ulipo Ninaongeza mwendo,nifike nipatakapo...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu Wananchi... Napenda Kuchukua Nafasi hii Kuwatoa majonzi Makubwa !! Yalio Tukumba!! Lakini Ina weza Ikawa sio Majonzi Bali Ni kama Jambo la kushangaza...Pamoja na kwamba Msumbiji Ime tu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom