zuzu

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Zuzu alipiga simu hospitali ya wagonjwa wa akili, akapokelewa na mfanyakazi wa mapokezi.
Zuzu: Nataka kujua kama chumba namba 17 kina mtu.
Dada wa mapokezi: Subiri niangalie.
Zuzu: Sawa.
Dada wa mapokezi: Nimekwenda kuangalia hakuna mtu. Lakini sijui kwa nini umeuliza hivyo.
Zuzu: Nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka au bado nimo humo.
 
ha ha ha!
 
Akh! Bahati yake,angemwambia wenzake wamekabidhiwa gari ya kutembelea kila mmoja,akjileta charaza bakora akome kumsumbua
 
Back
Top Bottom