Kwa ushindani huu unaokuja toka kwa zook, sisi wana uchumi tunasema furaha kwa watumiaji.
Mimi nashangazwa na haya makampuni vifurushi vyao vinakuwa na bei kubwa zaidi ya mara mbili ukilinganisha na vifurushi hivyo huko Kenya na Uganda ni kwanini,kama thamani ya pesa mbona Tsh iko juu kuliko ya Ush.DSTV na Zuku ndo wanatukamua zaidi kwa vifurushi vyao,wenzetu Kenya ni sawa na buure,TCRA sijui hawalioni hili.pia mwenyekiti wa kampuni mama ya Zuku hapa TZ Mr Ali Mafuruki vipi mbona mnatwimbia mchana kweupe
Jamani nyumba zenyewe za kupanga sebule kama tundu la ndege unajaza madecorder mpaka kwenye makochi,
ngoja tuisikilizie tutanunua tu
This is completely madness, na inaoonyesha kiwango cha ujinga kwa watawala wetu. DSTV Tanzania hailipi kodi yoyote..... kuanzia VAT mpaka Corporate Tax. Kenya DSTV wanalipa hizi kodi. Hii ni kutokana na kuwa na viongozi pamoja na mifumo ya kipuuzi. Nilitegemea katika mazingira hayo Tanzania wangelipa fee ndogo.
Angalia hawa DSTV.. charge zao ni wizi mtupu, Sasa hivi natazama ligi ya Uingereza mechi zote kwenye HD kupitia Abu Dhabi sport kwa kulipa dola 200 kwa mwaka. Beam yao ipo clear hapa Dar. Haya majizi yalikuwa yananilipisha Tzs 145,000/=kwa mwezi mpaka najitoa.
Wakati mwingine unaweza kuiona TCRA as another lump of garbage sitting out there doing nothing.
Mkereketwa,