ZUKU Tv Services Launched in Tanzania

Ndugu darco28nifanyeje nami nipate hiyo HD kupitia Abu Dhabi sport nami nifurahia premier league na league zingine?
 
Wanazuku habari ya asubuhi samahani mimi nimefungiwa Zuku tarehe 25/3/2012. wakatii nanunua niliambiwa naangalia free mwezi mzima ambayo inaisha tarehe 24/ 4/2013 jana nimetumiwa Msg na zuku nambiwa nilipe 40,000 kabla ya tarehe 24 na wakati nilisajili nilipe 20,000 kwa mwezi ntakaoanza sasa inakuwaje mnaojua
 
Wanazuku habari ya
asubuhi samahani mimi nimefungiwa Zuku tarehe 25/3/2012. wakatii nanunua
niliambiwa naangalia free mwezi mzima ambayo inaisha tarehe 24/ 4/2013
jana nimetumiwa Msg na zuku nambiwa nilipe 40,000 kabla ya tarehe 24 na
wakati nilisajili nilipe 20,000 kwa mwezi ntakaoanza sasa inakuwaje
mnaojua

rekebisha kidogo maelezo yako baba tukusaidie.
 
Wanazuku habari ya asubuhi samahani mimi nimefungiwa Zuku tarehe 25/3/2012. wakatii nanunua niliambiwa naangalia free mwezi mzima ambayo inaisha tarehe 24/ 4/2013 jana nimetumiwa Msg na zuku nambiwa nilipe 40,000 kabla ya tarehe 24 na wakati nilisajili nilipe 20,000 kwa mwezi ntakaoanza sasa inakuwaje mnaojua

Hiyo sms isikusumbue sana, utakatiwa huduma baada ya mwezi kuisha(tokea siku ulipojiunga). Kuhusiana na package wala haina shida unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unalipia account number uliyotumiwa ie.zuku7142.. Ukilipa 20000 utapata chenels zinazolipiwa 20000, ukilipa 40000 utapataza za bei hiyo nk.
 
Back
Top Bottom