Beyond thinking...!!Na hii kitu imenifanya mzungu akiniambia chochote nikitafakari sana kabla ya kuamua kutekeleza anachotaka. Hawa jamaa wanapiga picha za mbali sana na wanaweza kukubali kupoteza baadhi ya vitu kwa sasa kwa ajili ya kupata manufaa makubwa zaidi baadae.