Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 3,994
- 8,102
Huyu jamaa baada ya kusumbuana na twiter na Telegram muda mrefu naona sasa kaamua awaue kabisa,
Anacopy features nyingi za telegram na kuziweka WhatsApp, anakuja na uwezo wa kutuna HD picture, anakuja na channels sasa hapo Telegram itakuwa haina jipya
Kwa sasa anaanzisha app ya threads, hii ni twiter yenye jina tofauti, je ataiua twiter? Muda utasema ila kwa kiasi kikubwa atachukua share za twiter huo ni ukweli,
Ila kama kawaida muda ni mwalimu mzuri, ngoja tuone, ni elon Vs Zuck kwa sasa